Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

Duh tunaabudu mno uarabu
 
Salaam, ahsante kwa swali zuri. Nimekupatia mwongozo tayari, soma nimekuTag
 
Kuitwa Omary, Abdul au Mohamed usifikiri waarabu ni ndugu zako. Hawa walioko huku ni waarabu koko, waarabu ni weupe unafikiri ni weusi?
Kuwa mweupe siyo kigezo hawa waliopo huku wanaokula ugali, viazi vitamu, mihogo ni waarabu koko.
Waarabu origional siyo hao koko huwa hawaruhusu kuchafua ngozi zao ndiyo maana kwenye nchi za waarabu hakuna watu weusi walioa waarabu na wanaishi kama raia wa nchi hizo na kuzaliana
Idadi ya watu weusi kwenye nchi za waarabu ni ndogo sana, wanaishi kama wafanyakazi na wengine wakitoka na familia zao kwenda kufanya kazi na hawahesabiki kama raia wa nchi hiyo.
Nchi za wazungu kama France, German, Marekani, Canada na Uingereza ina idadi kubwa ya watu weusi walioa wazungu na kuishi kwenye nchi hizo za wazungu kama raia na kutambuliwa na sheria ya nchi.
Hapo ulipo ukipewa visa ya Marekani, Canada, Uingereza, France, German, Australia, Uswis, Syria, Gaza, Misri, Saudia Arabia, Iran, Pakistan, Morocco, Tunisia, Lebanon na nchi za waarabu. Najua huwezi kwenda kwenye nchi za waarabu hata moja kwasababu unajua waarabu wanaroho mbaya
 
Salaam, ahsante kwa swali zuri. Ngoja waandae hatua zote kwenye page moja kesho tutakupa hapa natunza link hii tafadhali.
Afu MH nina jambo kuhusu kundi maalumu fulani, nitaweka uzi na nitakutag, uje utolee ufafanuzi na suluhisho, maana siku unawasilisha bajeti ya wizara, makundi yote mliyazungumzia, ila hili katuu

Sasa nataka tujadili kwa upana wake.
 
Tafadhali soma hapa. Kwa msaada zaidi, wasiliana na afisa ustawi wa jamii wa eneo lako na simu pia nimekuwekea hapo. Chagua namba ya mkoa wako Tuma sms tafadhali atakujibu. Ukikwama huko, lete rufaa kwangu kwa sms nisikilize, namba yangu pia iko humo. Shukrani na ahsante sana kwa moyo wako na familia yakoπŸ™
 

Attachments

  • IMG-20250604-WA0044.jpg
    122.2 KB · Views: 13
  • IMG-20250604-WA0045.jpg
    115.4 KB · Views: 8
  • IMG-20250510-WA0045(3).jpg
    115.6 KB · Views: 10
Unataka ka Osama Bin Laden kadogo! Anyway we nenda tabora kule Kuna waarabu Wana maisha magum sana hukosi kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…