Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Naam
 
Si ajabu Kilimanjaro kuongoza kwa idadi ya sekondar Tanzania
Ya pili kwa kipato kikubwa kwa watu wake kwa 90% Baada ya dar
Ya kwanza kwa makazi bora vijijin i.e almost 95% ya Kila nyumba uchagan Ina maji na umeme
Hadi ghorofa za kuishi zipo vijin uchagan
 
Ila aisee ununue camera Luambo...na kuishi kwote Germany?...

Chukua hata Google pixel zipo hadi za laki mbili na zina camera nzr tu
 
WACHAGGA WOTE WANASIFIWA MAENDELEO KWA AJILI YA WAROMBO NA WAKIBOSHO HAO NDIO MATAJIRI WENYE KUSHIKA HII JAMHURI.MIMI NI MCHAGGA HIVYO NITAKACHOKISEMA NAKIFAHAMU.kuna wachagga wa vunjo mwika marangu-kilema,kirua old moshi uru na machame.hawa ni white colour ni wamangi wanasema hawawezi kufanya kazi za ovyo kama kupika na kuchoma nyama kwenye mabaa little did they know kuwa huko ndipo kwenye pesa.wamewaachia warombo na wakibosho ambao hawachagui kazi na ndio wachagga matajiri
 
Hebu kajengeni vyoo kwanza
 
Wenye hela ni mabroker kwa hawa wachimbaji wadogo mim sijaongelea wachaga nimesema wahindi ndo mabroker wenye hela kwa wachimbaji wadogo wala sio wasukuma au wachaga

Huwez mkuta broker anapigwa na mavumbi huko migodini yeye yuko na hennesy yake pembeni anawasubiria nyie mmletee madini awape hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…