Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Kwahiyo Kilimanjaro ni la kipumbavu mnooo.



Hapana,

Chukulia mfano Mdogo wa nchi ya China,

China imo kwenye big 8 countries Duniani,

Sio maskini,

Lakini watu wake wanatoka kwenda kutafuta fursa kila pande ya Dunia.
 
Unakuta Mtoto Mdogo wa Shule ya msingi unaweza kumuachia duka auze asikutie shoti?

Niambieni mtoto wa kabila gani anaweza kufanya hivyo?

Lakini Mtoto Mdogo kutoka Rombo mchukue muweke dukani popote atauza bila kukutia shoti yoyote.

Sema siku hizi wengi wanakuwa shuleni.

Zamani walikuwa wanapatikana lakini miaka hii wengi wanakuwa shuleni.
 
Mhindi wakati wa rikizo watoto wote wanaenda dukani Kwa baba ,

Wanakuwa field,

Wanaanza kuwa mentored tangu wakiwa wadogo wanaanza kupenda na kujifunza kufanya biashara,

Imagine!

Sisi waswahili hata shamba watoto wetu hawataki kwenda [emoji848][emoji848]

Wanataka washinde kijijini wale na wengine kuwa kwenye magenge ya wahuni kulewa Na kuvuta bange.

Hawataki kwenda kushinda shamba kulima,

Wengine ndio kila mtu anataka kuendesha bodaboda.

Sasa watakuwa wanaume wa aina gani hawataki kulima vijijini?

Na wazazi wa siku hizi wanawaendekeza, zamani kama hutaki kwenda shamba kulima na chakula hutapewa.

Wazazi walikuwa wanatimiza Maandiko asiyefanya kazi Na asile .
 
Zamani hata Yaya ukipata kutoka Rombo ulikuwa umepata Jembe ,

Wanapiga kazi Na hawana kilanga cha kumtega baba Mwenyenyumba,

Wanamheshimu kama Baba mzazi.

Sasa kachukue Yaya kutoka Tunduru, Singida, n.k uone.

Yeye mwenyewe anaanza kumtega mumeo [emoji108]
 
Tunaweza kujifunza kutoka kwao.

Kwanza kubadili namna yetu ya kufikiri,

Tupende kufanya kazi kama punda wanawake kwa wanaume,

Tuambiane tuache uchawi ,

Imeandikwa: mwanamke asiachwe kuishi bali auliwe.

Sehemu yoyote yenye uchawi hakuna maendeleo,

Sababu kazi yao kubwa ni kuhakikisha hakuna anayeendelea in all aspects.
 
Wewe bado unaamini huo ujinga? Kwamba hao watoto walio komea la saba wa kirombo tu ndo wanaweza kuuza maduka wasipate hasara? Hivi ulishawahi kujiuliza watoto wa Kiha wanaofanya biashara mpaka baadae yanakuwa na maduka! Mbona hata huku Kahama kuna watoto wa kisukuma wanauza maduka na elimu zao ni la saba? Huu ujinga wa kuona kabila fulani wanaweza kufanya biashara ni wa miaka hiyo! Saizi kila kabila wanafanya biashara tena wilayani huko wala sio kariakoo!
Mfano ukienda Kasulu,Kahama,Tunduma,Katoro mbona watu wa makabila yote wanafanya biashara kubwa tu na kwa mafainikio makubwa sana tu! Mfano hata Tunduma hapo mimi sijaona kwamba wachaga ndo wanafanya vizuri zaidi nawaona Wakinga na makabila mengine hata Kahama na Katoro ukienda utakutana na Wasukuma wanafanya biashara kubwa tu na kuagiza mizigo!
 
Hapana,

Chukulia mfano Mdogo wa nchi ya China,

China imo kwenye big 8 countries Duniani,

Sio maskini,

Lakini watu wake wanatoka kwenda kutafuta fursa kila pande ya Dunia.
Kilimanjaro hakuna:

  • Ardhi
  • Fursa ya biashara
  • Hakuna kilimo.


Kuna Nini???


Unataka kufananisha Kilimanjaro na China Kama Juha.


China watu wanaenda sehemu nyingine ku-export vitu vyao.

  • Teknolojia
  • Bidhaa.


Kilimanjaro mnapeleka Nini maeneo mengine?


Yaani utoke Jangwani ukatafute maji sehemu nyingine halafu unifananishe na mchina???
 
Hujui unalolisema
 



Wewe umeamua kubisha tu lakini huo ndio ukweli.

Taarifa za kitafiti zimekuwa zikifanyika kwa miaka mingi na zimethibitisha kuwa wachaga ni “ borned Enterpreneures”

Mtoto wa kichaga akizaliwa tu ni Enterprenure by born.

Nenda UDSM Library au UDBS katafute taarifa ya hizo tafiti ujifunze upate kujua badala ya kubishabisha Maswala serious.
 
Arusha imetekwa na Wachaga, mataita wa Arusha ni wachaga.
 
Huwezi kutajirika kwa kuuza duka.
 
Wachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...

Huyo ndio anawapa utajiri...

Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
Sasa Si Bora Wao.
Kuliko Wewe Unaeangaika Na Mungu Usiyemjua .Wakuletewa Na Wazungu Na Waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…