MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Rombo.Unakaa uchagani wapi?
Ila Kwasababu Kilimanjaro ni Kama kiwilaya tu, nishazunguka kote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rombo.Unakaa uchagani wapi?
Wadanganye hakuna anayezaliwa mfanya biashara au mfugaji by nature! Kwa hali ya sasa kibongo bongo mtu yeyote anaweza kuwa business man katika nyanja yeyote!Wewe umeamua kubisha tu lakini huo ndio ukweli.
Taarifa za kitafiti zimekuwa zikifanyika kwa miaka mingi na zimethibitisha kuwa wachaga ni “ borned Enterpreneures”
Mtoto wa kichaga akizaliwa tu ni Enterprenure by born.
Nenda UDSM Library au UDBS katafute taarifa ya hizo tafiti ujifunze upate kujua badala ya kubishabisha Maswala serious.
Huwezi kutajirika kwa kuuza duka.
Wadanganye hakuna anayezaliwa mfanya biashara au mfugaji by nature! Kwa hali ya sasa kibongo bongo mtu yeyote anaweza kuwa business man katika nyanja yeyote!
Huna akili, Kilimanjaro inaanzia wilaya ya Same ambayo wala hujawahi kuingia huko ndani, halafu Rombo huwezi kufananisha na Marangu, Old Moshi, Siha, Machame, Uru na Kibosho.Rombo.
Ila Kwasababu Kilimanjaro ni Kama kiwilaya tu, nishazunguka kote
Rombo.
Ila Kwasababu Kilimanjaro ni Kama kiwilaya tu, nishazunguka kote
Wewe unapwapwaja tu huna hoja! Utafiti huo aliufanya nani, lini na wapi? Wewe bado unaabudu ukabila tu usiona na maana mbona mtaani huku wachaga kibao tu wana kipato kidogo! Nimekwambia mtu yeyote anaweza kuwa mfanya biashara kikubwa awe na uwezo wa kujitambua na nidhamu ya fedha!Nimekwambia ni kwa mujibu wa taarifa za kitafiti siongelei kimtazamo kama wewe.
Tafiti kupingwa Kwa tafiti,
Kafanye yako ndipo uje kusema nadanganya watu.
Halafu huenda najadiliana na mtu mwenye ufahamu Mdogo wa mambo! [emoji848]
Nakusikitia mzunguko wa pesa Rombo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe unashangaza sana ujue [emoji3]
Hivi mzunguuko wa hela wa Rombo utaufafanisha na Wilaya gani hapa nchini ukitoa za Dar?
Unajua hapo Rombo kwa siku yanaingia na kutoka mabasi mangapi makubwa na madogo?
Mafuso na malori je ?
Hapo alfajiri na mapema biashara huanza wakati maeneo mengine ya Wilaya nyingine watu wakiwa wamelala!
Tembea uone!
Nakusikitia mzunguko wa pesa Rombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halmashauri ya Rombo choka mbayaaaaaaaaaaaaaa.
Haina chochote inachotegemea kimapato.
Halmashauri mpaka inakaribia kuvunjwa.
Unaongea kuhusu mabasi ndio ndio yanapandisha mapato[emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya Halmashauri mbovu kwa kila kitu nchi hii ni rombo
Nimetia madem wawili WA kichaga na napajua uchaganiHujafika uchagani na wala huwajui Wachaga.
Nani kakwambia kwenye madin na kilimo na ufugaji hayupo? Sema ni kwamba wachaga ni wafanyabiashara wakubwa wakati hao wachimbaji wakichimba wanawapelekea wachaga kwa Ajili ya kuuza na kufanya biasharaNetajie kabila ambalo halipo kila mkoa? Mchaga yupo kwenye biashara sawa lakini kwenye sekta zingine hayupo kama madini,kilimo,ufugaji kwenye sekta hizo huwezi kumlinganisha na Musukuma!
Madealer wa Dhahabu nchi hii unataka kunidanganya ni Wachaga ndo wengi? Wewe ulishawahi kwenda mpaka wa Namanga ukafanya statistics ya wafanya biashara wa wazao? Unamaanisha huko Mwanza,Tarime ,Geita,Chunya na Kahama wafanya biashara wakubwa wa dhahabu ni wachaga? Acha kulewa sifa wewe huna majibu ila umekaririshwa stori za kwenye vijiwe vya Mbege!Nani kakwambia kwenye madin na kilimo na ufugaji hayupo? Sema ni kwamba wachaga ni wafanyabiashara wakubwa wakati hao wachimbaji wakichimba wanawapelekea wachaga kwa Ajili ya kuuza na kufanya biashara
We unaonekana una CHUKI za wazi na wachaga ila huo ndio ukweli kwa tz wachaga na wahaya kwakweli wapo mbali kwa kila kituMadealer wa Dhahabu nchi hii unataka kunidanganya ni Wachaga ndo wengi? Wewe ulishawahi kwenda mpaka wa Namanga ukafanya statistics ya wafanya biashara wa wazao? Unamaanisha huko Mwanza,Tarime ,Geita,Chunya na Kahama wafanya biashara wakubwa wa dhahabu ni wachaga? Acha kulewa sifa wewe huna majibu ila umekaririshwa stori za kwenye vijiwe vya Mbege!
Wewe unachekesha wahaya wako mbali kwa lipi? Wale wamewekeza kwenye elimu tu kwenye biashara hamna kitu! Mimi siongei kishabiki sijasema wachaga hawako vizuri wako vizuri ila kutokana na Jamii kubadilika fursa zimekuwa za kugombania sana!We unaonekana una CHUKI za wazi na wachaga ila huo ndio ukweli kwa tz wachaga na wahaya kwakweli wapo mbali kwa kila kitu
Hakuna laana yaan mtu from no where,huna uhusiano wowote eti anakulaani! For how?Imeandikwa: “ laana isiyo na sababu haimpati mtu “
Lakini kuna makabila ambayo wazee wana bidii sana na ukiwa mzembe kijijini watu wanakucheka, wengine wanalazimisha watoto wao kusoma sana ili wafaulu wawe na kazi nzuri serikalini na wengine hawajali kama watoto wanasaidia kazi au la, au wanasoma au la wao ni bora liende tu.😂😂😂Kufanya kazi ni jadi Kwa kila mtu Wala hatufanyi kazi kutokana na kabila fulani.