Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Mimi tungi sinywi ila naishi kizungu mkuu yaani sijibani kwenye matumizi muhimu niko na historia ya koo moja wanaitwa Chuwa ni wabahili sana Bibi mzaa baba alitoka huo ukoo unaambiwa alikuwa zamani anaficha pesa ndani mpaka zinatoa ukungu ule ukijani si unajua huku baridi.

Ikifika wakati wa jua kuwaka anatoa zile noti anaanika juani 😁😁😁 kwa ubahili ni mbahili kumbe koo yao nimekuja chunguza wapo hivyo yaani ni wachoyo pia wabinafsi sana wao wenyewe hawajipendi.

Wachagga wa mbokomu huko kirua, wachagga wa Uru wanaongoza kwa ubahili, alafu wamachame na wanarumu wafuate......

Ila wamarangu wengi ni wachagga smart ni siyo wabahili.
Wakibosho na warombo wanakunywa sana ila pesa zao huwa hawajui kuzitumia wise kama wamarangu, yaani wengi wao ni washamba wako na sifa fulani hivi kama kibosho wanashusha mjengo mkali ili wapate sifa.....ila hayo si maisha.

Nakazia !
Genetic nko related kirua na rombo ,
Warombo wana Iq ndefu ya maisha zaidi Mkuu ambako nmetok ,

Ni kawaida Sana mchaga kutumia ela anavyopenda na still aka maintain kua na maendeleo .

Mauwa yetu Tupewe !
 
Wasukuma gani?,wakinga gani? ,Waha gani? Kwa Tanzania hakuna kabila la watu matajiri kama wachaga ,na wachaga hawapo sehemu moja ukienda kila mkoa utawakuta
Netajie kabila ambalo halipo kila mkoa? Mchaga yupo kwenye biashara sawa lakini kwenye sekta zingine hayupo kama madini,kilimo,ufugaji kwenye sekta hizo huwezi kumlinganisha na Musukuma!
 
Wazanaki wapo juu, nafasi yenu bado ipo katika historia ya nchi hii, Nyerere tutamkumbuka sana maana pamoja na urais wake aliiweka nchi mbele na sio kupendelea kwao kwenye maendeleo, hata watoto wake hakuwapa upendeleo, ingekuwa vinginevyo basi wazanaki wangekuwa wameikamata sana hii nchi na huko uzanakini serikali ingekuwa imepaendeleza sana.
Wazanaki hawawezi kuwa juu kwani hata Nyerere alipokwenda Uingereza kudai Uhuru wa Tanganyika tiyari alishamkuta Msomi Mangi Marealle ameshamtangulia kudai uhuru wa Kaskazini, yaani Kilimanjaro
 
Us

Usifananishe wachaga na hao mashenzi mabaguzi yenye roho mbaya. Hivi kwani kujilinganisha nao ni sifa? Kwani hamuwezi kuwa nyie kama nyie? I hate this. Hakuna tafiti yoyote ile inayowaunganisha na mayahudi hayo. Na wala sio dili kuwa ndugu zao.
Ni kwel...btw wachaga,wairaq na wanyaturu Wana asili ya uarabu
 
Nakazia !
Genetic nko related kirua na rombo ,
Warombo wana Iq ndefu ya maisha zaidi Mkuu ambako nmetok ,

Ni kawaida Sana mchaga kutumia ela anavyopenda na still aka maintain kua na maendeleo .

Mauwa yetu Tupewe !
Kama uta tafuta pesa usitumie wisely hiyo haina maana yoyote.
 
Kwanza Wachagga wengi na wenye mafanikio makubwa na ya kati hawakusoma, hili lazima ukubaliane nalo, wengi waliishia darasa la saba na kuingia mjini na kapu la karanga.
Hawa jamaa wangesoma kama Wahaya wangekuwa mbali mara 10 ya hivi waluvyo.
Wanachowashindanacho wengine ni moyo jitihada bidii ya kazi na kuheshimu pesa, kumbuka pesa hutoka kwa wasioisimamia kwenda kwa wanaoisimamia.
 
Huwa nakuona uko social. Uko vizuri sana kijana, pigo za ajabu ajabu huna.
Mimi nimekaa na hizo jamii Kwa sana siwezu kuwachukia kabisa Kwa vile hata dada yangu kaolewa huko ...Jamii ambazo ngumu kuwachukia Kwa vile nimekaa nao sana wapare ,wachaga ,Wadigo ,wapemba na wasambaa .

Hao ni watu wa karibu sana Kwa maeneo niliokaa na nawafahamu sana
 
Ninajua unawafahamu
 
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, jamaa wapo mbali mno.

Kunaweza kuwa na makabila yanayowafatia ila ni gepu refu mno.

1.Elimu: Hawa watu wamesoma sana na shule zipo huko kwao tangu zamani sana, sehem zao kuna shule nyingi sana, hapa wenzao ni wahaya lakini tatizo wahaya wana shule chache sana huko kwao na sehemu waliyosifika ni kwenye elimu tu.

Biashara - Ni kama kipaji chao cha asili hata kwa ambao wameishia darasa la 7 wapo wanaofanya makubwa, ukija kwa wasomi nako wamejaa wamefungua makampuni, najua kuna wanaofatia wapo wakinga, waha, wasukuma, n.k ila wameachwa mbali sana.

siasa - ukiachana na ccm hawa ndio waasisi wakubwa wa vyama vingi maarufu vya upinzani kuanzia tlp, nccr, chadema, vyote vina asili ya wachaga,

kuendeleza na kujenga kwao hawana mpinzani, nimeona makabila mengine wengine wanajaribu jaribu wanajenga nyumba za kisasa huko vijijini kwao ila unakuta kijiji kizima nyumba hizo zinahesabika,

Kwenye system na political positions hawajajaa sana
ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo.

kuridhika kwa wachaga ni ngumu sana, mtu alieridhika mara nyingi huonyesha majigambo na sifa, kuna baadhi ya watu wakipata hela basi wataanza laki si pesa, ist gari za watoto, n.k kwa wachaga mtu anaweza kuwa na pesa kibao ila bado ana nidhamu ya pesa laki 1 anaipangia bajeti, ataendesha hata passo ilimradi ajenge kwao nyumba nzuri, n.k.

Ni nadra sana kusikia mambo ya uchawi uchagani kwamba flani kamtupia jini jirani kisa mtoto wake kapata kazi, kurogana kisa ndugu kapiga hatua, n.k. uchawi ni adui mkubwa sana wa maendeleo na kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kuukwepa, just imagine nina rafiki yangu wa huko Geita vijijini alitaka kuwajengea wazazi nyumba ya kisasa, watakataa, mwengine rafiki wa Njombe aliniambia huko kijijini kwao hata kuweka bati ni ishu nzito kwasababu majirani wanaweza kuchukia maendeleo wanaroga.

Wanaheshimu mila na desturi zao: kifupi wanajua wapi wametoka na wapi wanaenda, wachaga ikifika december kuna mtu asiejua balaa lao ? huwa ni kama waisrael wa sehem mbali mbali wanarudi kwao, hii pia inafanyika na kabila lililofanikiwa zaidi Nigeria waigbo hurudi kwao kila mwisho wa mwaka.
..........................

Kwa wengi unaweza kukuta kwenye elimu wapo ila kwengine zero

wengine unaweza kuta wanajitahidi biashara ila huko kwao hakutamaniki na elim bado sana

n.k.
Hiki ndio wachagga mmebakiza.

Kutafuta uhalali wa kujisifia.

Jamani Mimi nakaa Uchaggani.

Ukiwa huku utabadilisha mawazo kuhusu inavyowaona wachagga.

Mtazamo wako ni Kama kuona kila Mzungu anaweza kutengeneza ndege. Upumbavu
 
Kwanza Wachagga wengi na wenye mafanikio makubwa na ya kati hawakusoma, hili lazima ukubaliane nalo, wengi waliishia darasa la saba na kuingia mjini na kapu la karanga.
Hawa jamaa wangesoma kama Wahaya wangekuwa mbali mara 10 ya hivi waluvyo.
Wanachowashindanacho wengine ni moyo jitihada bidii ya kazi na kuheshimu pesa, kumbuka pesa hutoka kwa wasioisimamia kwenda kwa wanaoisimamia.

Umenena vyema.

Wengine huanzia kwenye ufundi saa, fundi viatu, uchuuzi Mdogo kisha baada ya muda anainukia na kuwa tajiri.

Kina Rombo green view, kina Baresa, kina B. M. Coach n.k wengine wengiiiiiii
 
Uchagani ni zaidi ya masaki, majumba, barabara,umeme,maji,shule,mahospitali,makanisa na vingine vingi.
Kwenye system ni kuwa hawapo kwenye political positions ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo,biashara kenya na kwingineko wapo
Lakini Cha kushangaza huko Uchaggani hamtaki kukaaa.

Mnakukimbia kila siku
 
Back
Top Bottom