Cobrahypnosis
JF-Expert Member
- Jul 28, 2021
- 362
- 676
Acha porojo Mkinga ameshawazidi ndio maana huwa nawaambia nyie growth rate yenu kwenye biashara ni ya kawaida na hamna maajabu!
Zamani mlikuwa na akicess ya kuibia serkali kipindi nchi imelala!
Siri ni kutomwendekeza jambazi namba moja ulimwenguni "wahuni wanamwita Mbunye"Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, jamaa wapo mbali mno.
Kunaweza kuwa na makabila yanayowafatia ila ni gepu refu mno.
1.Elimu: Hawa watu wamesoma sana na shule zipo huko kwao tangu zamani sana, sehem zao kuna shule nyingi sana, hapa wenzao ni wahaya lakini tatizo wahaya wana shule chache sana huko kwao na sehemu waliyosifika ni kwenye elimu tu.
Biashara - Ni kama kipaji chao cha asili hata kwa ambao wameishia darasa la 7 wapo wanaofanya makubwa, ukija kwa wasomi nako wamejaa wamefungua makampuni, najua kuna wanaofatia wapo wakinga, waha, wasukuma, n.k ila wameachwa mbali sana.
siasa - ukiachana na ccm hawa ndio waasisi wakubwa wa vyama vingi maarufu vya upinzani kuanzia tlp, nccr, chadema, vyote vina asili ya wachaga,
kuendeleza na kujenga kwao hawana mpinzani, nimeona makabila mengine wengine wanajaribu jaribu wanajenga nyumba za kisasa huko vijijini kwao ila unakuta kijiji kizima nyumba hizo zinahesabika,
Kwenye system na political positions hawajajaa sana
ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo.
kuridhika kwa wachaga ni ngumu sana, mtu alieridhika mara nyingi huonyesha majigambo na sifa, kuna baadhi ya watu wakipata hela basi wataanza laki si pesa, ist gari za watoto, n.k kwa wachaga mtu anaweza kuwa na pesa kibao ila bado ana nidhamu ya pesa laki 1 anaipangia bajeti, ataendesha hata passo ilimradi ajenge kwao nyumba nzuri, n.k.
Ni nadra sana kusikia mambo ya uchawi uchagani kwamba flani kamtupia jini jirani kisa mtoto wake kapata kazi, kurogana kisa ndugu kapiga hatua, n.k. uchawi ni adui mkubwa sana wa maendeleo na kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kuukwepa, just imagine nina rafiki yangu wa huko Geita vijijini alitaka kuwajengea wazazi nyumba ya kisasa, watakataa, mwengine rafiki wa Njombe aliniambia huko kijijini kwao hata kuweka bati ni ishu nzito kwasababu majirani wanaweza kuchukia maendeleo wanaroga.
Wanaheshimu mila na desturi zao: kifupi wanajua wapi wametoka na wapi wanaenda, wachaga ikifika december kuna mtu asiejua balaa lao ? huwa ni kama waisrael wa sehem mbali mbali wanarudi kwao, hii pia inafanyika na kabila lililofanikiwa zaidi Nigeria waigbo hurudi kwao kila mwisho wa mwaka.
..........................
Kwa wengi unaweza kukuta kwenye elimu wapo ila kwengine zero
wengine unaweza kuta wanajitahidi biashara ila huko kwao hakutamaniki na elim bado sana
n.k.
Wewe na miguu yenu spoku mnamaajabu gani? Huyo Mengi si alishakufa? Nitajie huo mabilionea wa kichaga mwenye pesa!Tupo tunafanya biashara kabla baba yako na nduli wenu hajazaliwa ndio maana list ya mabilionaire nchini wachaga wanaongoza na tuliwahi toa billionaire mweusi bwana mengi na estimations ya wealth ilikuwa ni $500 million. Utatuambia nini mfuga n’gombe na mshamba nchi hii. Hoja ya mkinga mjadala ulishafungwa hao ni wachuuzi wa maduka ya nguo au tuje na takwimu ili ukae kimya.
Ushirikiano, Elimu muhimu ila janjajanja muhimu zaidi fullstop..Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, jamaa wapo mbali mno.
Kunaweza kuwa na makabila yanayowafatia ila ni gepu refu mno.
1.Elimu: Hawa watu wamesoma sana na shule zipo huko kwao tangu zamani sana, sehem zao kuna shule nyingi sana, hapa wenzao ni wahaya lakini tatizo wahaya wana shule chache sana huko kwao na sehemu waliyosifika ni kwenye elimu tu.
Biashara - Ni kama kipaji chao cha asili hata kwa ambao wameishia darasa la 7 wapo wanaofanya makubwa, ukija kwa wasomi nako wamejaa wamefungua makampuni, najua kuna wanaofatia wapo wakinga, waha, wasukuma, n.k ila wameachwa mbali sana.
siasa - ukiachana na ccm hawa ndio waasisi wakubwa wa vyama vingi maarufu vya upinzani kuanzia tlp, nccr, chadema, vyote vina asili ya wachaga,
kuendeleza na kujenga kwao hawana mpinzani, nimeona makabila mengine wengine wanajaribu jaribu wanajenga nyumba za kisasa huko vijijini kwao ila unakuta kijiji kizima nyumba hizo zinahesabika,
Kwenye system na political positions hawajajaa sana
ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo.
kuridhika kwa wachaga ni ngumu sana, mtu alieridhika mara nyingi huonyesha majigambo na sifa, kuna baadhi ya watu wakipata hela basi wataanza laki si pesa, ist gari za watoto, n.k kwa wachaga mtu anaweza kuwa na pesa kibao ila bado ana nidhamu ya pesa laki 1 anaipangia bajeti, ataendesha hata passo ilimradi ajenge kwao nyumba nzuri, n.k.
Ni nadra sana kusikia mambo ya uchawi uchagani kwamba flani kamtupia jini jirani kisa mtoto wake kapata kazi, kurogana kisa ndugu kapiga hatua, n.k. uchawi ni adui mkubwa sana wa maendeleo na kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kuukwepa, just imagine nina rafiki yangu wa huko Geita vijijini alitaka kuwajengea wazazi nyumba ya kisasa, watakataa, mwengine rafiki wa Njombe aliniambia huko kijijini kwao hata kuweka bati ni ishu nzito kwasababu majirani wanaweza kuchukia maendeleo wanaroga.
Wanaheshimu mila na desturi zao: kifupi wanajua wapi wametoka na wapi wanaenda, wachaga ikifika december kuna mtu asiejua balaa lao ? huwa ni kama waisrael wa sehem mbali mbali wanarudi kwao, hii pia inafanyika na kabila lililofanikiwa zaidi Nigeria waigbo hurudi kwao kila mwisho wa mwaka.
..........................
Kwa wengi unaweza kukuta kwenye elimu wapo ila kwengine zero
wengine unaweza kuta wanajitahidi biashara ila huko kwao hakutamaniki na elim bado sana
n.k.
Jiandae kwenda kabirini Mali zikijaa...nina mwanamke wa kichaga.nimegundua wana akili kubwa na ya utafutaji.nikimuomba ushauri hajawah kuniangusha.ila wanawake zangu wengine wao wanajua mfanye mapenz tu.
Situlikubaliana uchawi haupo, ni nadharia tu za watuKule mtoto wa mwenzio akifaulu mitihani jamii yote inafurahia,
Mtoto wa jirani akinunua gari au kujenga ni furaha kwa jamii nzima na fahari ya wote,
Lakini njoo huku kwingine uone ni kinyume chake [emoji108]
Tena unakuta hadi ndugu wa tumbo moja wanamroga ndugu yao [emoji24]
Stupid.Ni kwel...btw wachaga,wairaq na wanyaturu Wana asili ya uarabu
'Nadhalia' really? Kuandika tu tabu. Nadharia nyingi kuhusu wachaga ni mbaya, ila uchawi kweli sio issue yao. Nyingine sijui ubaguzi , blah blahSitulikubaliana uchawi haupo, ni nadhalia tu za watu
Acha wivu!Wachaga/uchagani kumeendelea nini!?..wachaga wangapi wapo kwenye system?
Mimi ni muislam naamini katika kifo ni ahadi.japo sikatai wanawake wa kichaga ni pasua kichwa.namburuza buruzaJiandae kwenda kabirini Mali zikijaa...
Hahahaa.....Hahaha kweli hakuna maendeleo kabisa alisikika Manka akiongea!
😂 😂 😂Achaga blabla
Wazanaki si ndio akina Genta?
Sasa genta na steve nyerere wanatofauti gani
Wewe na miguu yenu spoku mnamaajabu gani? Huyo Mengi si alishakufa? Nitajie huo mabilionea wa kichaga mwenye pesa!
Mengi mwenyewe walikuwa fisadi tu hana maajabu yeyote!
Wewe Una chuki na wasukuma lakini nikwambie tu kuna wasukuma wengi wanawazidi pesa nyingi mnawazidi kukosa makao na kuwa na vifua vikubwa!
KUNA KITU KINAITWA CHAGGA LAND ULISHAWAHI KUSIKIA? UGOMVI WA WACHAGGA NA NYERERE UNAUELEWA?siri iko hapa,
wajerumani walitawala maeneo ya kilimanjaro mapema sana kuanzia 1885, hivyo wachaga walikua ni moja kati ya makabila ya kwanza kabisa kuchangamana na watu weupe tanzania bara....
shughuli la kiuchumi na ile elimu ya kikoloni kwa wale wachaga wa tabaka la juu ndo ikapelekea wao kujanjaruka haraka kuliko makabila mengine....
naskiaga tu kwenye stori za vijiweniKUNA KITU KINAITWA CHAGGA LAND ULISHAWAHI KUSIKIA? UGOMVI WA WACHAGGA NA NYERERE UNAUELEWA?