Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
๐๐๐Nyeto hii nyieNazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
umeamua uhamie kwenye konyagi
Ume replace na mbege nini๐Soda(Pepsi)
Nilikuwa nakunywa kusipo idadi...
Ila kwa sasa nimeacha kama siyo kupunguza..
Hamna...Ume replace na mbege nini๐
Au sio .... Mwenyekti wa Tabata Sanene.Tariq ndiyo ka-like
Huyo ndio P-Mechanic Engineer.Nimemuona, lakini amekataa kuamini Kama niliachana na hiyo tabia
Wapiga nyeto wamenielewa. Bando inatumika kwa baadhi ya watu.Kupiga nyeto unatumia bando?
Demi unazingua.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAisee, nimeuacha mzigo mmoja ulikua na matako siyo ya dunia hii, kwanza alikua anajua mapenzi pili mapenzi yanamjua, tatu hana invoices, mwisho alikua nataka ku-settle kabisa mazima. Wazee wa kataa ndoa wameniokoa, aisee utamu ungeniua mapema
Ingekulemaza vipi, unakuwa kilema unatembea kwa kuchechemea au?Nilijua hii kitu itakuja kunilemaza nikapiga chini haraka sana
Addiction ni pombe na sigara, hizo ulizotaja ni mbwembwe tu.Addiction inayoongoza 1.punyeto 2. Kubeti Kwa mujibu wa takwimu
Acha matani na nyeto mkuu.Addiction ni pombe na sigara, hizo ulizotaja ni mbwembwe tu.
Chaputa mambo swaaaf kabisaSasa mtu upambane kuacha nyeto kwa sababu gani? Kwani inakugharimu sh ngapi?
Maana ya addiction, ni kitu chenye madhara alichozoea mtu kukifanya chenye madhara. Nyeto ina madhara gani?Acha matani na nyeto mkuu.