food lovers
Member
- Apr 23, 2023
- 15
- 15
sawa sawa. AsanteKila jambo lina mwanzo na mwisho kikubwa usiache kusali usiache kupambana kuwa na Imani tu yataisha siku nzuri na zenye furaha zinakuja
Kitu kingine nilicho kigundua baadhi ya magonjwa ikizingatia lishe hutayaona kabisa jitahidi mkeo Apate lishe Bora kadri unavyoweza ili wanao wachanga wawe na afya baadhi ya magonjwa hutayaona
Pole Kwa kupatwa na changamoto hauko peke yako Kila mtu anapata changamoto m/mungu atakuvusha salama
Kwa jinsi ulivyoulizia anaishi wapi, nikajua huyu anataka amchangie hata laki Moja, kumbe hakuna kitu.Nenda kwa mwamposa
Sawa.Hakuna Mungu wa kukutatulia matatizo yako.
Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe.
Na wakutatua matatizo yako ni wewe mwenyewe.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo kumsaidia kiumbe chochote kile kwenye matatizo.
Kidogo tu mpambanaji Apate chochote.Dalali sio shida zako
Ingelikuwa ndio hivyo huku Africa watu wachache wangezaa. Usimkatishe tamaa mwenzio kama huwezi kumtia moyo basiUkishaleta mtoto kwenye hii dunia au kuwa na familia wakati uwezo wako bado ni wa mpeche mpeche, Matatizo na umaskini lazima vikutwange kisawasawa.
Hadi akili ikukae sawa sawa.
Kabla ya kuleta kiumbe kwenye hii dunia hakikisha utaweza kukihudumia mahitaji yake yote pamoja na kujihudumia wewe binafsi.
Pole sana mkuu yatapita.Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia.
Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana.
Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana Tangu mwezi wa saba Nimeuza baadhi ya Mali zangu hadi sasa Hivi nimesihiwa kabisa ni kama matatizo yanaitana Likiisha hili linafuata Lingine.
Imefika wakati sasa Nikitazama watoto wangu wachanga Roho inaniuma sana maana ninawaza Vitu ambavyo Viko nje kabisa .
Unakopa hadi unaogopa Kukopa au Kuomba tena, unadhalilika.
Umasikini ni Mbaya sana, Umasikini ni fedheha na Aibu Kubwa.
Hivi ni nji gani unayoweza Kuitumia au unaweza kufanya nini unapopitia kwenye Changamoto Kama Hizi.
Ni jambo gani la hekima sana unaloweza kufanya Ili upite salama kwenye Kipindi cha aina Hii.
Hospitali ya serikali au binafsiNina mtoto ana Clinic Hospital aliambiwa asibadili Hospitali kwanza
Jikaze tu mzee we ndo dereva usikubali aibu ukutawale kaza Sana panapowezekana kupata kitu we pambana upatendio ndio.
Apana usifanye ivo we unawatu nyuma wanakutazamaPole sana mkuu yatapita.
Hapa nilipo natamani nipotee kabisa, nitokomee kusikojulikana nisahau kila kitu nikaanze maisha upya kabisa.
Daah mzee mapambano hayaPole sana mkuu yatapita.
Hapa nilipo natamani nipotee kabisa, nitokomee kusikojulikana nisahau kila kitu nikaanze maisha upya kabisa.
ya Serikali.Hospitali ya serikali au binafsi
Sure, Sure.Jikaze tu mzee we ndo dereva usikubali aibu ukutawale kaza Sana panapowezekana kupata kitu we pambana upate
AminOmba Mungu.
Uvumilivu.
Fanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa.
Heshimu Kila unayekutana naye.
Muhimu kabisa.
Maisha ni changamoto, na dunia haina huruma na mtu Hakikisha yeyote anayeishi hapo kwako, kuna sababu ya msingi ya kuwepo; vinginevyo usilee tegemezi asiyezalisha hapo ndani. kama una watu, buni biashara ndogondogo wazifanye; zingine haziiitaji ata 50,000. i,e watembeze karanga, maandazi, barafu, juisi, kahawa n.k
Tuko pamoja mtaalam. Hatuna Budi kuendeleza mapambanoKama unaamini kuwa Mungu yupo basi hebu ongeza ibada. Amka usiku mlilie Mungu ataleta wepesi. Mwenyezi Mungu hujibu dua za watu.
Usikate tamaa kwani hata sisi tunapitia misukosuko haupo mwenyewe. Mimi huu mwaka wa pili nipo kwenye mtihani mzito japo to be honest bado ninaweza kuilisha familia lakini kutokana na hali hii kuna watu wamesimama shule sbb nimeshindwa kuwalipia ada.
QURAN 94: 5-6
"Hakika baada ya dhiki huja faraji. Na kwa hakika baada ya dhiki huja faraji."