Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

Aiseee pole kwanza. Mwanaume n zaid ya matatzo usipende kutangaza matatzo unayo yapitia ila unahitaji njia ya kuzshnda,
 
Pamoja sana
 
Hakuna Mungu wa kukutatulia matatizo yako.

Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe.

Na wakutatua matatizo yako ni wewe mwenyewe.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo kumsaidia kiumbe chochote kile kwenye matatizo.
punguza ukali infro
 
punguza ukali infro
Hawa watu lazima tuwaeleze ukweli utakao zama ndani kabisa ya Medula oblongata🧠 zao ili waache kuja kulia lia hapa JF.

Wafahamu fika kwamba chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe na majibu ni waowao wenyewe.

Hawa ni sawa na hawa watu wanao oa single mother, Halafu wakishapigwa na vitu vizito wanakuja Kulia lia kuomba ushauri na msaada.
 
P
 
Pole sana kwa changamoto nakushauri mambo yafuatayo:
1. Jaribu kuhudhuria nyumba ya ibada kumshirikisha Mungu matatizo yako
2. Usipende kukaa mazingira ya peke yako unaweza kuchukua maamuz mbaya zaidi
3.Penda kutembelea sehemu za asili km ufukweni
4. Mwisho changamoto tumeumbiwa binadamu kukata kwako tamaa ni kuwaangusha wanaokutegemea, hivyo utawapa maisha magumu zaid kuliko uliyonayo wewe🙏
 
Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…