Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

ni hisia gani unapatwa ukiwa kwenye hizo ngazi mamii
 
Domo zege tuu.
 
Kusimulia kwa watu jinsi ulivyolombana na sketi nyingi.
 
-Kuvuta sigara, bangi au shisha
-Kuvaa nguo ya kubana au vile vikaptula wanaita vinjuka
-Kuhudumia demu
 
Kutanguliza shukrani kwa kumtaja Mungu kunakuuma ila ukisiamma kutanguliza shukrani kwa viongozi wa chama na serikali unaona ndio sahihi?
Sina tabia ya kutanguliza shukrani kwa mtu nikipewa nafasi naenda kwenye hoja moja kwa moja
 
Kuishi kwa ndugu zaidi ya week moja, nishashindwa japo wengi wanaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…