Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #41
Mshahara wa dhambi ni mauti.Ww unafikiri wasukuma ni wepesi kama Nyumbu. Nyie Chadema mmewatukana sana pia mmemtukana sana JPM aslani hakuna msukuma yeyote mwenye akili timamu akawapigia kura Chadema..
kwamba hufahamu mamlaka imesha tahadharisha kuwa na hali mbaya ya hewaKila mtu anauona ukweli, lkn anakwepa kuukubali ili asionekane mstaliti wa kambi (chama)
Kitendo cha mwenyekiti kustopisha operation zake ghafla baada ya Makonda kuapishwa, na kuahidi kula nae sahani moja kinamdhalilisha, kinamshushia heshima na kumfanya mwenyekiti aonekane ameisha kisiasa ndomaana anakwepa kuendelea na mikutano yake kama alivyokuwa amepanga.
Kwa kauli hiyo ya Makonda, Mbowe alitakiwa aendelee na mikutano yake ili kuuonesha umma wa watanzania kuwa Makonda si lolote, si chochote. Lakini sio kujificha, kunywea na kuja na hoja za hovyo kwa kuwaangushia jumba bovu mamlaka inayohusika na mambo ya hali ya hewa nk.
Kama nilivyosema hapo juu, kwamba watanzania wa sasa sio wale wa 2006 hadi 2015, ambao walitumiwa kama ngazi.Sijamtaja mm,
Pia mjue, wananchi Si wajinga.
Magu hakuuza bandari, mnalo.
Tusubiri.
Mwenyekiti baada ya kusikia hiyo kauli, akasoma alama za nyakati na kuamua kuacha kuendelea na mikutano yake, maana asije kuaibishwa na kijana ambae hajafikia hata ukatibu mkuu wa chama 🤣🤣🤣kwamba wewe una ufahamu ama ndo kujidai kuwaza ki GT kumbe uharo tu
mkakati gani, ana kipi cha maana zaidi ya upumbavu
Kama nilivyoandika hapo juu, kwamba lengo la uzi Huu ni kuwaiteni chawa wake mje kumtetea mwenyekiti wenu, baada ya yeye mwenyewe kushindwa au kuogopa kujitetea kupitia mikutano yake aliyokuwa amepanga kuifanya kabla ya kuapishwa Makonda.Duuuh, kweli ujinga ni mzigo Aiseee..hongera kwa kujinyakulia buku 7 hapo lumumba
Hivi outstanding person anawezaje kukoment kabla ya kusoma contents kwanza? Maana utakachoshauri au kusema kitakuwa nje kabisa ya yaliyojadiliwa. Hapo ndio tunapata wapumbavu kama huyo sasa.Nimependa ulivyotumia busara kumfungua kichwa huyo kichwanazi mkurupukaji 🤣🤣🤣
You're still insisting ahuh?! How despicable is it? Embu edit ulichandika hakiendani na taarifa rasmi bhana.Naelewa nilichoandika. Soma tena.
Kizazi hiki kiongozi anawaandaa vijana kufanya maandamano, alaf siku ikifika yeye na familia yake hawaonekani maandamanoni 🤣🤣🤣Kuwa Mwanaharakati/Mtetea Haki za Wanyonge Yakupasa Uwe Umejitoa Kweli Kweli Usiwe na Cha Kupoteza Hata Kifo. Kizazi hiki hakuna tena wale wanaume wa shoka kina Ernesto Che Guevara, Martin Lumumba, Malcolm X na wengineo waliojitolea maisha yao kuipambania Afrika. Wanaharakati tuliokuwa nao sasa Ni Uchwara wapo kimaslai zaidi alafu Waoga kama Kunguru. Pathetic
Huyo jamaa ataandika nini cha maana?.Mimi nimesoma kwasababu napenda kusoma maandishi yoyote ata ya mjinga lakini sijaona cha maana alichokiandika.Mawazo yake yakijinga dhidi ya mbowe na chadema hayawezi kumsaidia yeye binafsi wala hayakisaidii chama chake zaidi sana katumia muda kuandika ujinga.Muwe mnasoma kilichoandikwa kabla ya kukoment. Kuna vitu ukivifanya hadharani vinadhihirisha ujinga uliojificha[emoji1787][emoji1787]
Kuna wajinga wanaona anaongea vya maana.tena hapo anabwabwaja kwa mgongo wa vyombo vya serikali.Makonda ana ajenda gani zaidi kuzunguka na kuongeaongea bila ya kuzungumza chochote?
Wewe ndo hujaelewa, mtoa mada ameelewa,You're still insisting ahuh?! How despicable is it? Embu edit ulichandika hakiendani na taarifa rasmi bhana.
Kuwa Mwanaharakati/Mtetea Haki za Wanyonge Yakupasa Uwe Umejitoa Kweli Kweli Usiwe na Cha Kupoteza Hata Kifo. Kizazi hiki hakuna tena wale wanaume wa shoka kina Ernesto Che Guevara, Martin Lumumba, Malcolm X na wengineo waliojitolea maisha yao kuipambania Afrika. Wanaharakati tuliokuwa nao sasa Ni Uchwara wapo kimaslai zaidi alafu Waoga kama Kunguru. Pathetic
Kumbuka humu kuna warundi na wamalawi wanaojifanya watanzania. Sasa ukiandika kiswahili ambacho wao hawaku kikariri wakati wa kujifunza, lazima waende nje ya mada wakifikiri wanapatia kumbe wana haribu.Hivi outstanding person anawezaje kukoment kabla ya kusoma contents kwanza? Maana utakachoshauri au kusema kitakuwa nje kabisa ya yaliyojadiliwa. Hapo ndio tunapata wapumbavu kama huyo sasa.
Ukimwita bogus atakumind mpaka kesho🤣
Ndo maana mmeletewa hao ndugu zetu kuwahadaaWw unafikiri wasukuma ni wepesi kama Nyumbu. Nyie Chadema mmewatukana sana pia mmemtukana sana JPM aslani hakuna msukuma yeyote mwenye akili timamu akawapigia kura Chadema..
Nafikiria Mbowe ameona mbali sana hadi kuamua kuachana na operation zake uchwara, alizokuwa ameziandaa kabla ya Makonda kuwa katibu mwenezi.Ndo maana mmeletewa hao ndugu zetu kuwahadaa