Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

Hiyo ccm ya kuisumbua cdm ilishapita, Sasa hivi cdm inabidi waangalie ni jinsi gani wataweza kupambana na vyombo vya dola, maana ndio hasa washindani wao.

Dhalimu alifanya mikutano hiyo hiyo ya kishamba na kupigia simu viongozi kuwapa maagizo, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore mchakato mzima.
 
Pumba tupu umeandika. Mikutano ya makonda inajaza makada na wanachama wa ccm tu tena wengine wanatolewa mbali kujaza mikutano tofauti na kina mbowe wanajaza wananchi halisi wenye kiu na mabadiliko ya kisiasa nchini
Kama nauona moyo wako unavyojitahidi kupambana na mkono wako, ili usiendelee kuandika uongo.

Moyo unakubali kwamba Mbowe anaogopa kuaibika kwa kukosa watu mikutanoni, huku mkono ukifosi kuandika uongo ili wenzako waone kuwa na wewe umejitahidi kuja kuokoa jahazi la mwenyekiti linaloonekana kuzama wakati wowote.
 
Toka 1995 mpaka leo 2023, bado mnategemea kujificha katika madai yale yale yalioanzishwa na kina Mrema, akafuatia Lipumba na sasa Mbowe, Lisu nk.

Cha kushangaza mkibahatika kupata wabunge wawili watatu hamzungumzii swala la kuibiwa kura. Ila mkiangukia pua kwenye uraisi ndio mnaanza tena kurudisha mziki wa miaka zaidi ya 28 iliyopita.

Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu wa hovyo akikwambia jambo la kijinga, na wewe ukalikubali huku ukijua kwamba lile unaloambiwa ni ujinga, basi mtu huyo atakuona wewe ni zaidi ya mpumbavu wake.

Mngekuwa na akili mngewawajibisha kina Mbowe, na Lisu wake kwa kufanikiwa kuwafanya nyinyi wajinga wa kupokea uongo wao kila mara.

Ila kwa vile mmeangukia katika sifa ile aliyosema Nyerere basi, kila watapoangukia pua watakuwa wanakuja kwenu kuwambieni ujinga wakitegemea hakuna atakaepinga na kutaka kujua au kusikia ukweli kutoka kwao.

Mtu kama Lisu anajifanya ana misimamo uchwara, ila Mbele ya Lowasa alikubali kuburuzwa, na kugeuza kauli zake mwenyewe. Badala ya kuendelea na msimamo wa kauli zake, yeye akawa mtu wa kucheka cheka tu hovyo.
 

Attachments

  • bd7969cf298a2a0e75ea62f12095d465.jpg
    50.7 KB · Views: 1
  • images (6).jpeg
    31.9 KB · Views: 2
Ni lini umewahi kusikia wapinzani wakiwa kimya kisa walipata viti kadhaa?
 
Ni lini umewahi kusikia wapinzani wakiwa kimya kisa walipata viti kadhaa?
Ni kawaida watu wengi wanaoshindwa uchaguzi sehemu mbali mbali duniani kulalamika kuwa wameibiwa, hata pale ambapo hapakuwa na wizi wowote juu yao.

Tumeona mpaka Trump kadai kuibiwa kura na mgombea wa chama cha upinzani.
Mambo mengine yanachekesha sana aisee 🤣🤣🤣
 
Habari wanajf.. Huyu kijana yupo kwa ajiri ya kazi maalumu.. msiumize sanaa vichwa sisi tumempa hiyo nafasi for reason... na kazi anaifanya kwelikweli.. safi sanaa..
 
Wafu mnazikana
 
we uko kazini kufanya propaganda
 
kwamba wewe una ufahamu ama ndo kujidai kuwaza ki GT kumbe uharo tu

mkakati gani, ana kipi cha maana zaidi ya upumbavu
Umejibu kimhemko sana kiasi kwamba ni rahisi watu wenye akili ku notes kwamba una uoga fulani juu ya ujaji wa Makonda katika mambo ya siasa. Hadi kupelekea kuonesha hofu yako wazi wazi mitandaoni.
 
Foolish
 
Umeeleweka vizuri mkuu.
 
Habari wanajf.. Huyu kijana yupo kwa ajiri ya kazi maalumu.. msiumize sanaa vichwa sisi tumempa hiyo nafasi for reason... na kazi anaifanya kwelikweli.. safi sanaa..
Kila mwanasiasa yuko katika siasa kwa kazi maalumu. Hivyo kina Lisu wako katika siasa kwa kazi maalumu ya kuiondoa CCM madarakani hata kwa uongo, kwa kukataa au kupinga hata maendeleo ya wazi yanayoletwa na serikali ya CCM.

Pia Makonda na yeye yuko kwa ajili ya ku deal na kina Mbowe hata kuwazushia uongo wa kisiasa nk.

Hiyo ndio maana halisi ya siasa.
 
Kile anachopigania kinatekelezwa, ulitaka andelee. Chawa wa Bashite sasa mmepata kula na kunyaa
Sasa ivi mwenyekiti ana aibika sana kwa kukosa watu mikutanoni.
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 1
  • images (5).jpeg
    33.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…