Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Usiniulize mimi huu upuuzi wako,kawaulize wanawake wa ukoo wenu..Ukianza na mama ako mzazi.,akikujibu hili swali uje utuandikie hapa.
Sijajua ni kwa nini umekuwa mkali hivi? Tushikamane na uzi na mada iliyo mezani ​
 
Uzi ufungwe
 
Umeumizwa katika ndoa?

Is there some emptiness in your life that you want to fill by attacking other people's marriages?

Naona una trend na hizi mada, si uzi mmoja tu.

Are you hurt by a woman?
Hapana mkuu niko sawa sijawahi kuumizwa na mwanamke.

Sijajua ni kwa nini unaziogopa sana hizi mada? Unatoneshwa kidonda?
​
 
Mie huwa nashangaa sana, wanawake kulalamikiwa kwa kitu kuhusu mahusiano. Jamani kwani lazima kuwa ktk mahusiano au ndoa? Ukiona huwezi kaa chonjo, km vipi hamieni kwa jinsia yenu.
Tumechoka na malalamiko kila siku. Lol
 
Mie huwa nashangaa sana, wanawake kulalamikiwa kwa kitu kuhusu mahusiano. Jamani kwani lazima kuwa ktk mahusiano au ndoa? Ukiona huwezi kaa chonjo, km vipi hamieni kwa jinsia yenu.
Tumechoka na malalamiko kila siku. Lol
Modern women hampendi sana wanaume wasanuke​
 
Utàwaona
Lunch hatoke na demu mwenzake anafatana na man then kidume kinajitutumua ana clear all bills miak nenda rudi
 
Umesema vyema mkuu

Leo tumegusia tu hawa waajiriwa
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…