Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Umesema vyema ukioa malaya lazima aliwe tu haijalishi ni wa nyumbani, mfanyabiashara au mwajiriwa
 
Kama ili uwe mwanamke ni bikira basi zaidi ya robo tatu duniani ni malaya wakiwemo mama zenu maana haiwzekani kuingia leba bila dudu la yuyu kupita shimo la uzima
🤣🤣🤣 una kamdomo kachafu sana wewe mwanamama. Nani alikwanbia tunaoa mama zetu​
 
Huu ni ukweli ambao Kiranga hataki kuusikia​
 
Hakuna penye usalama, iwe mama wa nyumbani, mjasiriamali au mwajiriwa. Attitude ya mtu tu. Huku mitaani daily kesi za bodaboda, wapaka rangi nk kuwala wake za watu tena sio waajiriwa ni nyingi.
Umesema vyema
 
Ukitaka uchanganyikiwe zaidi ya hapo upate jamvi la wageni​
 
Haibadirshi ukweli mkuu. Ndio maana Kuna msemo unasema ukimchunguza sana bata hutomkula. Kuna mengine unajifanya ku ignore kama hayapo
Hakuna mwanaume kamili anaweza kuignore usaliti wa mke wake
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Ndiyo maana nchi haiendelei kwa sababu watumishi wanawaza kunyanduana tu kuliko kufanya gunduzi na tafiti mbalimbali.

Hivi kama mpo bize hata kuandaa project plans mtapata muda wa kunyanduana siku za kazi?
Hili tatizo lipo hata katika nchi zilizoendelea​
 
Hapana mkuu niko sawa sijawahi kuumizwa na mwanamke.

Sijajua ni kwa nini unaziogopa sana hizi mada? Unatoneshwa kidonda?
​
Mimi naona unawaingilia watu uhuru wao, kwenye maisha yao, bila ya wao kukuingilia wewe.

Pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Kama wewe hujaamua kuoa ni haki yako.

Kwa nini unaona hilo halikutoshi mpaka uanzishe nyuzi kebekebe za kuwafuatikia, kuwadhalikisha, kuwasakama watu walioanua kuoa?

What is your problem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…