myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh!!!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!!...
Sawasawa..
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Alijipangia kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa!
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu
Kwa maoni haya, wewe utakuwa ni sukuma gang au antisukima gang.Rais anataka kura za wasukuma.
Rais kagundua kua sio rahisi ku ignore kanda ya ziwa, unatafta matatizo makubwa.
2030 lazima rais atoke huko.
Hakuna msuguwano, nahisi hali ya kiafya ya Majaliwa siyo nzuri, anahitaji sana usaidizi.Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu
Nyie kila mtu anatoka nchi jirani!!!!????Huyo sio msukuma inasemekana anatoka nchi jirani
Wewe nani wa kumnyamazisha mtu humu. Kaa kimya mwenyewe hujalazimishwa kusoma post yake.Embu ka kimya ...naona ukishapata hicho kijimshahara unaona umefika
Anampangia kazi ambazo yeye ameshindwa kuzifanya?Mmeshaanza ufukunyuku, jua tu Dotto anapangiwa kazi na Waziri Mkuu, sasa huo msuguano utoke wapi?
Yohana mzima wewe?Kawaida sana
RC Makonda alikuwa anatembea na King'ora na ulinzi wa kutisha!
Mi mzima ulipotea Sana 😂Yohana mzima wewe?
Kwani lini CCM imewahi tegemea kura za wananchi kushinda? Hata wasipompigia 2025 usishangae akatangazwa kuwa kazoa kura zote Kanda ya ziwa!!Rais kagundua kua sio rahisi ku ignore kanda ya ziwa, unatafta matatizo makubwa.
Ahahahah Mdanganyika utamjua tu bwanaaaah.Kwani hata ukitokea huo mkanganyiko, utapungukiwa nini?
Ni utapanyaji wa fedha za umma.Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu