Kama unampenda mwanao mweke mbali na smart phones na Social networks, mpaka atakapo vuka 18 au kodato cha sita.
Hamna sehemu mbovu kama social networks, vijana wadogo wanapenda kuiga vinavyo fanyika katika social networks ambavyo kwa asilimia kubwa huwaga ni fake, havimfunzi chochote zaidi ya kuharibu mind yake.
Husiache kuongea na kumfunza ajue ni maana ya maisha,thamani ya utu wake haufanani na kitu chochote, apiganie ndoto zake na mweke karibu na Mungu.