Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
558
Reaction score
1,117
Habari wanaJF
Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi.
1.Polisi
2.Barmaid
3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike)
4.Secretary wa MaBoss
5.Jaji/Hakimu
6.Referree
7.Usalama
8.Mhudumu wa Ndege n.k

Ongezea zako mdau hata km ww unaifanya ila hutamani mwanao aje aifanye...
 
Kwa

Kwahyo ww mwanao kazi yyte tu ruksa kuifanya
Mwanangu atafanya kile anachokipenda na kukichagua. Ninachoweza kufanya ni kumshauri wakati wa kumuandaa kwa anachotaka kufanya. Mzazi ni muandaaji na mshauri ... huwezi kumzuia kufanya chochote anachoamua. Ukiwa mzazi mzuri utakuwa mjanja kumuandaa na sio kumzuia kwa ambacho hukumuandaa. Sijui kama utanielewa.
 
Habari wanaJF
Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi.
1.Polisi
2.Barmaid
3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike)
4.Secretary wa MaBoss
5.Jaji/Hakimu
6.Referree
7.Usalama
8.Mhudumu wa Ndege n.k

Ongezea zako mdau hata km ww unaifanya ila hutamani mwanao aje aifanye...
Kuna watu familia zinawategemea kupitia hizi kazi
 
Back
Top Bottom