Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
Kwahyo ww mwanao kazi yyte tu ruksa kuifanyaMwanao ataamua mwenyewe. Kama wewe uliamriwa na baba yako shauri yako.
Mwanangu atafanya kile anachokipenda na kukichagua. Ninachoweza kufanya ni kumshauri wakati wa kumuandaa kwa anachotaka kufanya. Mzazi ni muandaaji na mshauri ... huwezi kumzuia kufanya chochote anachoamua. Ukiwa mzazi mzuri utakuwa mjanja kumuandaa na sio kumzuia kwa ambacho hukumuandaa. Sijui kama utanielewa.Kwa
Kwahyo ww mwanao kazi yyte tu ruksa kuifanya
Hii ni hatari sanaaa kwa sasa9. Uchawa
Ndo ipoje hii
Polisi Wana dhambi nyiee🙌1. Uchawa
2. Polisi
Kuna watu familia zinawategemea kupitia hizi kaziHabari wanaJF
Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi.
1.Polisi
2.Barmaid
3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike)
4.Secretary wa MaBoss
5.Jaji/Hakimu
6.Referree
7.Usalama
8.Mhudumu wa Ndege n.k
Ongezea zako mdau hata km ww unaifanya ila hutamani mwanao aje aifanye...