Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

Bora awe bamaid kuliko polisi
 
Kuuza chini (kama ni wa kike)
 
Kwahiyo hizi kazi zote ulizozitaja hapa ndiyo zenye pesa nyingi?
 
Bila kuathiri uendelevu wa mada; Mm siongezi ila Namba 4 iondolewe na badala yake iwekwe kazi ya salon na massage.
 
Hii list haikamiliki bila ualimu. Usi ovelook chuo kikuu sio ualimu.
 
Bila kuathiri uendelevu wa mada; Mm siongezi ila Namba 4 iondolewe na badala yake iwekwe kazi ya salon na massage.
Salon na Massage nakuunga mkono kabsa ila no 4 wengi wanateswa sana mzee
 
Salon na Massage nakuunga mkono kabsa ila no 4 wengi wanateswa sana mzee
Hawatumii Akili, Hekima na Busara zao. Wengi wao hudhani kwa kujirahisi kwa maboss ndo mambo yatawaendea vizuri (kwa vi-Nights out watakavyopewa kwa kufuatana na boss safarini) wanasahau huyo bosi siye aliyewaajiri. Boss nae ni mwajiriwa sawa kama wao. Hawatosheki na kile kidogo(Mshahara) wanachokipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…