Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

Siasa.
 
Kazi za ccm
 
Mbona ndo kazi za Pesa hizo
 
1
 
Polisi
 
Mama yangu alinikatalia kwenda kusoma chuo cha Diplomasia baada ya kupeleka maombi ya kupata ujuzi/elimu.
Nakumbuka nililetewa barua kuwa natakiwa kuanza masomo tarehe ../../19..

Ikabidi nimsikize Bi Mkubwa, enzi hizo mzazi anasauti kubwa na maamuzi kwa mtoto si kama sikuhizi.
Ila maji hufuata mkondo....🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…