Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

1.Udalali
2.Kubeti

Hope atakua Kidume.
 
Kazi ya Upolisi
 
Mbona na madalali nao wana hela tu then chawa na dalali somehow hawana utofauti sana
Dalali anadanganya anadhurumu manufaa huu ni wizi wa aina yake,
Chawa anapewa na Boss fairly kabisa, Kama tu Petro alivokua chawa wa Yesu.
 
Kwangu mwanang kazi yoyote ruksa Cha msingi asivunje sheria za nchi mana kumpangia nini Cha kufanya ni hatari endapo akapata changamoto hata kidogo kwenye kazi yake uliyomchagulia
 
Kwangu mwanang kazi yoyote ruksa Cha msingi asivunje sheria za nchi mana kumpangia nini Cha kufanya ni hatari endapo akapata changamoto hata kidogo kwenye kazi yake uliyomchagulia
Sawa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…