Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Weee hela nyingi hiyo bby....sasa sii bora ningepewa mbususu....mbususu sikupataJamani hiyo si pesa ya weaving tena low budget π
Mzabzab unaniangusha buanaβ¦ 400k ya kujilalamisha kweli?? πΉ
Hazikuhusu nenda kwa wakubwa kenge typeMada za kitoto hiz..!
Basi na mimi ngoja nitafute msukuma wa kumfinyia siku ya birthday yake πΉπΉ
Ungempa tena uenda angekufikiria kukupa babe jamani πΉWeee hela nyingi hiyo bby....sasa sii bora ningepewa mbususu....mbususu sikupata
Ukikosa usihangaike nipo aisee...ila seriously ile kitu ni hatari ukibahatisha mtaalamu. Baada ya hapo nilimwambia hata zile zilizobaki azichukue tu. Aliongezea laki moja zingine akaniachia eti nitanywea supu ili kurudisha nguvu πBasi na mimi ngoja nitafute msukuma wa kumfinyia siku ya birthday yake πΉπΉ
Hunitakii mema weweUngempa tena uenda angekufikiria kukupa babe jamani πΉ
Wenye hela ndiyo mnatuhela twingine tumechakaa utafikiri karatasi la mandazi kwa bibi kizimkazi?Money power,sisi wenye hela hatuiti kuhonga tunaita zawadi kwa wapenzi wetuView attachment 3292039
Laki 4 nayo ya kujilalamisha mzabzab ikiwa wanawake wenyewe tunaweza kudeposit dollar kwenye account zetu πΉHunitakii mema wewe
πΉπΉπΉUkikosa usihangaike nipo aisee...ila seriously ile kitu ni hatari ukibahatisha mtaalamu. Baada ya hapo nilimwambia hata zile zilizobaki azichukue tu. Aliongezea laki moja zingine akaniachia eti nitanywea supu ili kurudisha nguvu π
Jana nili wrong nikatuma 20k kwenye namba ya best mmoja wa kike DU nikatamani nimpigie airudishe akanambia pesa ime kombwa na mkopo alikua anadaiwaa..Nilikosea nikatuma 500,000badala ya 50,000.nililia sana
Acha kujiliza ndo uanaume huo πΉJana nili wrong nikatuma 20k kwenye namba ya best mmoja wa kike DU nikatamani nimpigie airudishe akanambia pesa ime kombwa na mkopo alikua anadaiwaa..
Aibu Sana kuomba refund kwa mdada..π kisa ilikua ni apps nilituma Ile kushangaa nime wrong number..nilikua busy sanaa Nika angalia watu nilio watumis pesa recent list ndio ikawa ivyoo..
Of course 20k yangu iliniumaa jioni ya Jana kwaio nikampotezea.. akasema amefurahi kula pesa ya Mimi kaka yake π
Ikabidi nitumie Tena 20k kwa mtu nilie mkusudia..
Dollar nyokoooo. Ukideposit dollar mie ninyongweLaki 4 nayo ya kujilalamisha mzabzab ikiwa wanawake wenyewe tunaweza kudeposit dollar kwenye account zetu πΉ
Ebo! Leta mada za maana basiMada za kitoto hiz..!
Papaa Mutu ya PesaπNilikosea nikatuma 500,000badala ya 50,000.nililia sana
Sikua na mpango wa kumtumia nilituma kwa bahati mbaya Ile kuthibitisha muamala..lahaula kumbe nimemtumia wrong person.Acha kujiliza ndo uanaume huo πΉ
Naomba wanyongaji njooni pls, mnyongeni mzabzab mpk kibamia chake πΉπΉπΉDollar nyokoooo. Ukideposit dollar mie ninyongwe
Ndio ungeanza mtongozo hapo unafeli wapi kaka πΉπΉSikua na mpango wa kumtumia nilituma kwa bahati mbaya Ile kuthibitisha muamala..lahaula kumbe nimemtumia wrong person.
Sasa unaanzaje kumtumia pesa mwanamke kwa bahati mbaya na ukamwomba refund akakubali kurejesha mpunga ππππ
Akasema pesa imekombwa ANADAIWA song ESHA π