Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Sidhan kama kuna mtu anapinag, ila kwa mfumo huu uliopo hata uweke jiwe litashinda tu.Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ikagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Hawa UWT ni wajinga haswaNi mwizi wa kura pekee anaimani kuwa ccm itashinda kwa 97%
Uchaguzi wa Huru na Haki mkiruka na 48% mtashukuru Mungu sana.
Sio watashinda, neno sahihi sema watatangazwa kwa 99%. Hilo neno kushinda ondoa.Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Kwa sheria hiziMama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Wanaanza kupika uwongo kuanzia sasa.....uzuri wanajua this time hakuna mabadiliko hakuna uchuguzi.Hawa UWT ni wajinga haswa
Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura 🤣Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Kwa mujibu wa Mwamuzi wa Kitanzania a.k a tume ccm hata 10000% mtaweza kwani mbinu mnazo na mnazijua na mnazitumia kila mara na kila wakati.Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita

kwa zaidi ya 98%.

Wewe ndio mchawi wa watanzania! Kima wewe!Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.
Mpk yule babu tapeli anajiita msajili kawaitaWanaanza kupika uwongo kuanzia sasa.....uzuri wanajua this time hakuna mabadiliko hakuna uchuguzi.