Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura 🤣
Utafikaje kwenye matokeo bila reforms ?
 
Ni tahira tu ndo anaamini ccm huwa wanashnda kwa kura za watanzania..
 
Utafikaje kwenye matokeo bila reforms ?
mchakato wa reform chadema walizira na kususa, kikosi kazi ambacho ni matokeo ya falsafa ya 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan ilifanya utafiti na kukusanya maoni ya vyama vya siasa vyote nchini, pamoja na wadau wa siasa nchini,

maoni na mapendekezo ya kikosi kazi yakapelekwa bungeni, bunge likaridhia na kupitisha reform kadhaa wa kadha hususani masuala ya kupita bila kupingwa, wasimamizi wa uchaguzi, muundo wa Tume huru ya uchaguzi n.k

hivyo basi,
ni muhimu waTanzania wote wakafahamu kwamba reforms zilishafanyika na hiyo kitu inaitwa no reform no elections ni scam 🐒
 
Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura 🤣
mtatafuta kura za kuiba safari hii muwape Chauma na UDP ili msikose ruzuku za wafadhili
 
mtatafuta kura za kuiba safari hii muwape Chauma na UDP ili msikose ruzuku za wafadhili
kura na maamuzi ni ya wananchi kwa mujibu wa katiba gentleman,

hakuna ndoto za mchana wala ushirikina kwenye hilo
 
Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura 🤣

Kinyume na hapa hata 40% haipatikani.
 
Ni kichaa pekee ataona ushindi huo ni wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…