Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

football ya zaman ina utofaut kidg na ya sasa iv,kuanzia wachezaji wa zaman kulikua na viungo wakabaji na mabeki hodari na katili sana lkn pia enzi za kina gaucho kulikua na mafundi wengi sana ambao hawakuwa wabinafsi ndo maana wengi waligawana tuzo mara moja moja au mtu kazid sana mbili..

waliokuja sasa wanaangalia mafanikio yao sana hasa kibiashara,na ushindan wa mess na ronaldo tu umefanya hao mabwana kuwa na takwim za kuwazid wengne..japo mafanikio yao binafsi yamechangia sana timu zao kupata mafanikio pia
 
Umeongea kiuanamichezo zaidi.
 
Kuna jamaa yangu mmoja anae houseboy wa mwaka 2006(kazaliwa)mwenyeji wa Iringa,basi ndio kwanza kamiliki smart phone,basi kila kitu kwake ni kipya kuanzia nyimbo mpaka wachezaji,Unaweza kukutana nae anakuuliza bro unamjua Pdidy wewe
 
Bibi yangu aliwahi kuniuliza yule anaecheza mpira muda wote anacheka huko Afrika kusini hayupo Timu ya Taifa daah nikagundua kama Bibi ana uwezo wa kukagua yupi bora mimi nani nimbishie aisee..
 
Gaucho, Robinho na Okocha hao watu walikua ni extraordinary.. sio rahisi kwa binadamu wa kawaida kufanya waliyokua wanayafanya...
Neymar alijitahidi kwa uwezo wake lakini hata kwa zidane tu hafiki
 
Robinho huyu jamaa sijui kwa nini haimbwi kama kina dilima zidane na kina gaucho. Huyu mbwa nana skills flan huvi usipokuwa makini unaweza mzaba kofi.
Ana hivyo vitu ulivyovitaja hapo.
 
Ufundi unaupimaje kipi gaucho kafanya Neymar hajafanya?
Na wewe unataka kuleta ubishi kama uyo jamaa yako. Suala la ufundi wa ball uyo Gaucho awekwe pembeni walinganishwe hao wengine
 
Gaucho alikua nabii wa mwisho wa mpira. Alikua na vitu vyote, nguvu, skills na passion ya mpira. Mwenyewe anasema lengo la mpira ni watazamaji wafurahie kuangalia sio wingi wa magoli. Ni mchezaji ambae alikua anashabikiwa hata na timu pinzani.
Neymar hajafurahisha?
 
Kupiga zanzu sio kitu kile kile mzee?

Mourinho una muona yukogo timamu?
 
Zlatan kaipa Nini Barca?

Uliyasikia ayo maneno akiyasema Messi?
 
Watakubishia mno ila umeongea ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…