Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Kabisa
 
Huyo Neema anazidiwa hata na Robinho tu Kwa udambwi......
 
Bibi yangu aliwahi kuniuliza yule anaecheza mpira muda wote anacheka huko Afrika kusini hayupo Timu ya Taifa daah nikagundua kama Bibi ana uwezo wa kukagua yupi bora mimi nani nimbishie aisee..
Unauhakika bibi yako hakuwa na tatizo la akili?
 
Gaucho, Robinho na Okocha hao watu walikua ni extraordinary.. sio rahisi kwa binadamu wa kawaida kufanya waliyokua wanayafanya...
Neymar alijitahidi kwa uwezo wake lakini hata kwa zidane tu hafiki
Robinho unachekesha[emoji16]
 
Gaucho, Robinho na Okocha hao watu walikua ni extraordinary.. sio rahisi kwa binadamu wa kawaida kufanya waliyokua wanayafanya...
Neymar alijitahidi kwa uwezo wake lakini hata kwa zidane tu hafiki
Wewe hujui kabisa mpira
 
Na wewe unataka kuleta ubishi kama uyo jamaa yako. Suala la ufundi wa ball uyo Gaucho awekwe pembeni walinganishwe hao wengine
Unaongelea mahaba tu Neymar ni fire
 
Huyo Neema anazidiwa hata na Robinho tu Kwa udambwi......
Duh! Wewe utakuwa ulikuwa unamsikiliza robinho redioni robinho flop wa man city unamlinganisha na Neymar?

Neymar hakuna alipoenda aka fail

Robinho skills zake ni average mno namuweka kundi la Ben arfa
 
Gaucho is the best. Neymar hastahili kufungua japo kamba za viatu vya gaucho.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Acha utoto .... Kumbe umeanza kumuona Robinho Man City...
 
Duh! Wewe utakuwa ulikuwa unamsikiliza robinho redioni robinho flop wa man city unamlinganisha na Neymar?

Neymar hakuna alipoenda aka fail

Robinho skills zake ni average mno namuweka kundi la Ben arfa
Robinho amewai kufunga magoli kwenye ligi zote kubwa hapa ulimwenguni.

Miongoni mwa magoli ya dharau robinho amewai kufunga magoli hayo ya kisigino na mambo kadha wa kadha akiwa pale man city na pacha wake cragy Bellamy.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Gaucho is the best. Neymar hastahili kufungua japo kamba za viatu vya gaucho.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Mbona neymar kamzidi number zote gaucho?
 
Gaucho ni pure talent akiwepo uwanjani anakupa matokeo muda wowotee.

The different is gaucho hakucheza kwa muda mrefu pesa anasa starehe zikamfanya kua bonge likewise Ronaldo de Lima bila kusahau injury.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Basi hayupo juu ya Neymar sasa
 
Naunga mkono hoja mtani
 
Basi hayupo juu ya Neymar sasa
Wadau wengi wanakwambia gaucho is the best..

Gaucho ndio binadamu pekee ambae alikua Aki uamrisha mpira na ukamtii.

Gaucho ndie KIUMBE pekee Alie kufanya mpira atakavyo na mpira ukamtii..

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…