Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Maisha hayana Rewind ⏪
hapo ndo pabaya, kuna tukio limetokea juz linanigharimu sana

mbaya zaidi nilisha onywa na watu wa karibu acha kufanya hivi mimi nafanya kwa ukaidi daaaah kwisha habari yangu
 
Nataka niwe na uhakika wa kunyakuliwa bwana Yesu akirudi

Ila maisha yangu sasa [emoji58]
Enenda sawa sawa na mapenzi ya MUNGU.. Zitii amri zake, soma Neno la MUNGU na kuliishi. Zaidi ya yote kua mtu unaependa kumuomba MUNGU in short uwe mtu wa maombi maana YESU anasema kesheni mkiomba msije mkaingia majaribuni. Roho Mtakatifu ajae ndani yako maana yeye atakuongoza na kukusaidia kulitimiza kusudi la MUNGU maishani mwako na hatimae uurithi uzima wa milele.
 
Back
Top Bottom