Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

Swala ni heshima tu,
Heshima ni positive feeling tunaonyesha kwa mtu wetu wa karibu au tunayedhani ni mtu anayetakiwa kulindiwa hadhi au tumempa hadhi ya juu sana. Kutochepuka mbele yake, watu wanachepuka miaka kumi na wapo kwenye ndoa zao zenye furaha, wapo wamezaa kabisa. HESHIMA. Regards kwa yule hufanyi mbele yake inatosha.
Ndio maana utamtukana rafiki yako tusi kubwa wakati wa stru na si baba yako.
Kuchepuka nje ya kitanda cha wewe na mkeo, nikuonyesha ni jinsi gani unamuheshimu. Hata kuvua pete wakati wa kuchepuka, as well as , swala si tu kitanda , kwahyo unadhani mtu mwenye nyumba vyumba vitatu anaweza kuja na mchepuko akachukua chumba kingine na kulala nae?.
HESHIMA IS ALL I HAVE TO SAY.

Basi heshima imepunguzwa mno Thamani kwa huo mtizamo, unapovua Pete nikumaanisha unakua umevunia ndoa Kwa muda wakati unacheouka?
Na hapo ndio msingi wa hoja yangu ulipo, chepuka tu lakini acha kujidanganya na mambo ya heshima.

Kama kweli unamheshimu mwenza wako Kwa kiwango Cha kuingiwa hofu na kuvua Pete uchepuke, si zaidi hiyo hofu ingeenda mbali kukukataza kuchepuka?

Ukikamatwa kwenye kesi ya uchepukaji unaweza kujitetea kwamba ulivua Pete au haukutumua Kitanda chenu?

Nnachosisitiza ukiamua kuchepuka, endelea tu bila kujaribu kupamba au kupunguza makali Kwa kujifariji.
 
Unafiki tu. Hili swali jibu unalo mwenyewe. Kama umeoa jaribu kujiuliza: hujawahi ku-cheat?

Kama umeshawahi ku-cheat ulifanyia wapi? Kwa nini hukumleta huyo mchepuko wako kwenye kitanda chako na mkeo?

Mada zingine ni kupotezeana muda tu. Unafiki! 🚮🚮🚮

Uko sahihi kabisa, nimeleta hapa kuondoa huo unafiki wa kujifanyia kuheshimu mwenza Kwa visingizio visivyona msingi. Kumbuka hii ni kauli inatumika na wanaume wengi linapokuja suala la kuchepuka.

Nnachoipenda JF ni Ile haki na uhuru wa kuandika chochote nnachojisikia bila kuvunja taratibu na sheria zake.
 
Kwako wewe:

Ulishawahi kuchiti?

Ulichitia kwenye kitanda chako na mkeo?

Kama jibu ni hapana: Kwa nini? Uliogopa kukitia unajisi kitanda chenu "kitakatifu"? Ulimwoyopa mkeo? Uliogopa watoto wako na majirani wasiwaone? Nafsi yako ya ndani (aka Roho Mtakatifu) ilikuhukumu? Hukutaka mchepuko apafahamu kwako? Nini kilikufanya mpelekane lodge au kokote mlikopelekana?

Jibu liko hapo 👆👆👆

Hayo yote nayaelewa na ndio msingi wa hii hoja. Unapoamua kuchepuka, weka pembeni suala la heshima, hakipo Tena. Sisemi upeleke mchepuko kwako ila usipeleke, ila usitumie kisingizio Cha Kitanda kitakatifu wakati Thamani ya mwili wako Kwa Mkeo ni kubwa kuliko kitanda mnacholalia.

Shida yangu kubwa ipo hapo kwenye hiyo kauli ya wanaume kwamba " siwezi kuchepuka kwenye Kitanda nnalala na Mke wangu". Ni unafiki
 
Kwako wewe:
Ulishawahi kuchiti?
Ulichitia kwenye kitanda chako na mkeo?

Kama jibu ni hapana: Kwa nini? Uliogopa kukitia unajisi kitanda chenu "kitakatifu"? Ulimwogopa mkeo? Uliogopa watoto wako na majirani wasiwaone? Nafsi yako ya ndani (aka Roho Mtakatifu) ilikuhukumu? Hukutaka mchepuko apafahamu kwako? Nini kilikufanya mpelekane lodge au kokote mlikopelekana?

Jibu liko hapo 👆👆👆

Kuna mtu katolea mfano wa wale wanavua Pete wakati wa kuchepuka, wote hao kundi Moja tu. Hakuna tofauti ya anaevua Pete, anaefanyia lodge, anaejificha kichakani na anaechepukia kwenye Kitanda chao.
 
Baba yangu aliwahi kuniambua nilipokua kijana, "mwanangu, mkeo atasamehe makosa yooote lakini kosa pekee ambalo hatakaa akusamehe ni la kuleta mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia".
My take is this, by nature women ni wavumilivu sana, na pia wengi wanaamini ni hulka ya mwanaume kutembea nje. Lakini unapodiriki kuja kuzini kwenye matrimonial bed yenu, hapo unakua umemvua nguo na kumdharau sana .
Sihalalishi kuchepuka, but i jus think tungekua na uwezo wakuzungumza freely ndani ya ndoa mambo mengi yangekua mswano na wengi wasingetoka nje. Communication and selfishness is still a big problem kwenye ndoa nyingi za kitanzania
 
Kwa nilivyo muelewa…anauliza kwanini kitanda kionekane kuwa kinathamani(mke au mume kupiga game kwenye kitanda chao na sio mwili wa mhusika?)

Yani yuko tayari akachepuke kwenye kitanda cha nje ya nyumbani kwao lakini amesahau kuwa mwili unathamani zaidi ya kitanda.

The Monk nirekebishe
Umepigaaa penyewee dear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's say it in reverse for instance, suppose your wife brought her side man( mchepuko) and had sex with him on your matrimonial bed??? I can't just imagine the pain😂
 
Ila hapo kwenye kitanda nadhani kuna ishu zingine ama za kitamaduni na zinginezo. Maana hata mkeo akikufuma unazinia kwenye kitanda chenu utamsikia:

"Yaani kabisa mume wangu umeamua kuniletea malaya wako na kulala naye tena kitandani kwangu? Mlikosa lodge za kwenda mpaka ukaamua kumleta kitandani kwangu kabisa?"

Hata wewe ukimfuma mkeo anagegedwa kwenye kitanda chenu dah! Inaonyesha dharau sana na kutojali. Ni kama mtu ambaye ameshafikia ile steji ya liwalo na liwe.

Uko Songea au Masaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Niko hapa mawasiliano Tower.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom