Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Mkuu sijui Jinsi ya kutag aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijui Jinsi ya kutag aisee
🤣🤣🤣🤣, Ngoma draw
Sasa huwezi chepuka ukasema uende kwenye kitanda ambacho mke wako analala akitoka mihangaiko. Hizo ni dharay na dharau ni matokeo ya kuvunja heshima. Elewa ndugu. Or else utupe kwanza maana ya heshima unayoijua ili tukocoment accordingly.Basi heshima imepunguzwa mno Thamani kwa huo mtizamo, unapovua Pete nikumaanisha unakua umevunia ndoa Kwa muda wakati unacheouka?
Na hapo ndio msingi wa hoja yangu ulipo, chepuka tu lakini acha kujidanganya na mambo ya heshima.
Kama kweli unamheshimu mwenza wako Kwa kiwango Cha kuingiwa hofu na kuvua Pete uchepuke, si zaidi hiyo hofu ingeenda mbali kukukataza kuchepuka?
Ukikamatwa kwenye kesi ya uchepukaji unaweza kujitetea kwamba ulivua Pete au haukutumua Kitanda chenu?
Nnachosisitiza ukiamua kuchepuka, endelea tu bila kujaribu kupamba au kupunguza makali Kwa kujifariji.
Let's say it in reverse for instance, suppose your wife brought her side man( mchepuko) and had sex with him on your matrimonial bed??? I can't just imagine the pain😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipooo hapa had baadaee jioni ndo natokaaa.Weweee!
Nilikuwa hapo dakika 5 zilizopita dah!
Mjukuu wala siyo poa!
Tiba ya usaliti ni KISASI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Ngoma draw
Nikuulize wee tupe tofauti ya kuchepuka nje ya, kitanda chenu na kuchepuka ndani ya kitanda chenu.Sasa huwezi chepuka ukasema uende kwenye kitanda ambacho mke wako analala akitoka mihangaiko. Hizo ni dharay na dharau ni matokeo ya kuvunja heshima. Elewa ndugu. Or else utupe kwanza maana ya heshima unayoijua ili tukocoment accordingly.
Ila hapo kwenye kitanda nadhani kuna ishu zingine ama za kitamaduni na zinginezo. Maana hata mkeo akikufuma unazinia kwenye kitanda chenu utamsikia:
"Yaani kabisa mume wangu umeamua kuniletea malaya wako na kulala naye tena kitandani kwangu? Mlikosa lodge za kwenda mpaka ukaamua kumleta kitandani kwangu kabisa?"
Hata wewe ukimfuma mkeo anagegedwa kwenye kitanda chenu dah! Inaonyesha dharau sana na kutojali. Ni kama mtu ambaye ameshafikia ile steji ya liwalo na liwe!
Dear OP, It's one thing to cheat on someone but doing it in your bed that's even more disrespectful. Tena naona kama disrespect ni understatement, yaani hapo haisameheki wala haizungumziki.
Wengi wetu tunachukulia kama kitanda ama bedroom zetu ni sehemu binafsi na ni sehemu inayostahili kuheshimiwa.
Umeni cheat sawa lakini kwanini umlete sehemu ambayo mimi na wewe tuna kumbukumbu nyingi pamoja? Maana yake haujali hata privacy zetu.
Unafki gani sasa......
[emoji38][emoji38]Ni hivi, Binafsi kama Mwanaume kula Mbususu ya nje hainifanyi Kuvunja heshima kwa Mke wangu, ila Mke wangu akiliwa na Jamaa lingine hapo Kanivunjia Heshima na hili kosa litamgharimu.
Okay, hii kwa mtazamo wangu ipo na pande mbili. Wewe unaandika zaidi kwa msaliti yaani mtenda usaliti.Professor,
Unakuta mtu ana nyumba Ina vyumba vitatu, kimoja cha kwake na mkewe, kingine Cha wengine. Imetokea amebaki peke yake na anajua kabisa hakuna mtu atakuja, anaamua kusaliti mwenza wake, anamwambia tufanye chumba kingine tofauti na kile tunachotumia na Mke wangu. Hapo kuhusu privacy na heshima naelewa kabisa na Sina tatizo.
Privacy ya Kitanda na kumpa mtu mwingine mwili wako unaoutumia Kwa mwenza wako ipi ni kubwa?
Nnachojaribu kuweka sawa hapa, ukishaona umeingia kwenye kusaliti, weka pembeni suala la heshima au privacy. Kubaliana na matokeo utakapokua unapokea kamisheni Yako.
Ngoja niende kwenye ule uzi wako kipenzi
Okay, hii kwa mtazamo wangu ipo na pande mbili. Wewe unaandika zaidi kwa msaliti yaani mtenda usaliti.
Ila kwa mtendewa ni tofauti. Kinachoumiza zaidi kwenye usaliti ni hisia na kumbukumbu. Unapomsaliti mtu na asijue mazingira ambayo usaliti umetendeka inakuwa tofauti na umemsaliti na anajua ni katika mazingira gani hilo jambo limetokea.
Fikiria nyumba mnayoishi pamoja, au kitanda mnacholala pamoja na mpenzi wako leo unapata kumbukumbu mpya za mpenzi wako kuwa hapo kimapenzi na mtu mwingine.
Sijui nielezee kwa namna gani ila ni namna gani unaweza kulalia hicho kitanda au kutazama mazingira ya hiyo nyumba bila kupata picha ya mpenzi wako akiwa uchi na mtu mwingine? Inakuchelewesha ku heal ama ku move on hata kama umemsamehe au hata kama haujamsamehe ila unaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba.
Namfahamu mtu ilibidi auze gari yake baada yamke wake kukataa kulitumia baada ya kujua alifanya mapenzi na mwanamke mwingine kwenye hilo gari. Unaweza ukashangaa kwamba, mbona anaendelea kutumia dick ambayo ilitumika kwa mwanamke mwingine na sio gari lililotumiwa tu?
Hisia na kuvuta picha namna tendo lilivyotendeka ndiyo inaumiza zaidi na unachelewa kusahaulika kuliko hata huo usaliti wenyewe.
Sasa kwa watenda jambo, ili kuepusha haya ndiyo maana wanaona ni bora kwenda kufanyia mbali kwamba hata mwenza wake akijua matokeo yake yanakuwa tofauti. Japo yeah, cheating is cheating .
Unajua nimeandika na kufuta mara ngapi? Hadi ninatamani kulia.
Hapa sasa nimekuelewa, Mwanafunzi wangu.Nakuelewa vizuri sana Professor, na inapokuja kupambana na haya mambo mwingine hawezi kabisa hata kuwa healed na tunatofautiana sana tunavyokabiluana nayo.
Mie nilijikuta zaidi kwenye upande wa mtendaji na ukiweka mbali suala la kukamatwa au kugundulika. Nilichojaribu kuangalia ni Ile kujifariji na kujipa moyo kwamba unalinda heshima ya mwenzako Kwa kuvua Pete au kutotumia Kitanda chenu.
🤣🤣🤣Mkuki kwa nguruweNi hivi, Binafsi kama Mwanaume kula Mbususu ya nje hainifanyi Kuvunja heshima kwa Mke wangu, ila Mke wangu akiliwa na Jamaa lingine hapo Kanivunjia Heshima na hili kosa litamgharimu.