Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?


Basi heshima imepunguzwa mno Thamani kwa huo mtizamo, unapovua Pete nikumaanisha unakua umevunia ndoa Kwa muda wakati unacheouka?
Na hapo ndio msingi wa hoja yangu ulipo, chepuka tu lakini acha kujidanganya na mambo ya heshima.

Kama kweli unamheshimu mwenza wako Kwa kiwango Cha kuingiwa hofu na kuvua Pete uchepuke, si zaidi hiyo hofu ingeenda mbali kukukataza kuchepuka?

Ukikamatwa kwenye kesi ya uchepukaji unaweza kujitetea kwamba ulivua Pete au haukutumua Kitanda chenu?

Nnachosisitiza ukiamua kuchepuka, endelea tu bila kujaribu kupamba au kupunguza makali Kwa kujifariji.
 

Uko sahihi kabisa, nimeleta hapa kuondoa huo unafiki wa kujifanyia kuheshimu mwenza Kwa visingizio visivyona msingi. Kumbuka hii ni kauli inatumika na wanaume wengi linapokuja suala la kuchepuka.

Nnachoipenda JF ni Ile haki na uhuru wa kuandika chochote nnachojisikia bila kuvunja taratibu na sheria zake.
 

Hayo yote nayaelewa na ndio msingi wa hii hoja. Unapoamua kuchepuka, weka pembeni suala la heshima, hakipo Tena. Sisemi upeleke mchepuko kwako ila usipeleke, ila usitumie kisingizio Cha Kitanda kitakatifu wakati Thamani ya mwili wako Kwa Mkeo ni kubwa kuliko kitanda mnacholalia.

Shida yangu kubwa ipo hapo kwenye hiyo kauli ya wanaume kwamba " siwezi kuchepuka kwenye Kitanda nnalala na Mke wangu". Ni unafiki
 

Kuna mtu katolea mfano wa wale wanavua Pete wakati wa kuchepuka, wote hao kundi Moja tu. Hakuna tofauti ya anaevua Pete, anaefanyia lodge, anaejificha kichakani na anaechepukia kwenye Kitanda chao.
 
Baba yangu aliwahi kuniambua nilipokua kijana, "mwanangu, mkeo atasamehe makosa yooote lakini kosa pekee ambalo hatakaa akusamehe ni la kuleta mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia".
My take is this, by nature women ni wavumilivu sana, na pia wengi wanaamini ni hulka ya mwanaume kutembea nje. Lakini unapodiriki kuja kuzini kwenye matrimonial bed yenu, hapo unakua umemvua nguo na kumdharau sana .
Sihalalishi kuchepuka, but i jus think tungekua na uwezo wakuzungumza freely ndani ya ndoa mambo mengi yangekua mswano na wengi wasingetoka nje. Communication and selfishness is still a big problem kwenye ndoa nyingi za kitanzania
 
Umepigaaa penyewee dear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's say it in reverse for instance, suppose your wife brought her side man( mchepuko) and had sex with him on your matrimonial bed??? I can't just imagine the pain😂
 
Niko hapa mawasiliano Tower.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…