Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€heee watu mbona mnamawazo haya. Yaani unahimiza watu wapate GPA ndogo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kwani ukipata ya 5 hizo shughuli zingine huwezi kufanya.
Kama umeelewa post yangu vizuri sijamlazimisha mtu apate gpa ndogo mkuu ila unachoshindwa kujua wengi wanao focus na gpa kubwa huwa hawana muda wa kuongeza ujuzi nje ya kile wanachokisomea .
 
Usanii mtupu wenye gpa kubwa nimesoma nao hawana uwezo wowote zaidi ya kucheat kwenye mtihani
 
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.

Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.

Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.

Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Nilikuja kugundua kumbe watu walikuwa wanatumia boom kuhonga ma lecturer wawavujishie paper mm niliamini msuli Tembo niliotoka nao Advance ndio utanitoa maana nilikuwa natokea nyumbani kwenda chuo kumbe haikuwa hivyo mwisho nikaambulia GPA ya 3.4 wenzangu wengi 3.5 Na kuendelea

Funzo: Ukiwa chuoni jitahid uishi Hostel Na pia Jenga urafiki na watoto wazuri pamoja wala bata hilo kundi lina msaada mkubwa sana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hee chuo gani hicho boss.
 
Aisee! Ok nini husababisha kwenye mitihani ile ile, mmoja anakuwa wa 1 na mwingine anakuwa wa 20 kati ya wanafunzi 40?
Bwana magari usipoeleqa swali sio dhambi ukasubiria michango ya wajuvi.
Kwa kifupi hujaelewa swali
 
Haya nieleweshe bwana wa kuelewa maswali
Anachotaka kujua ni yupi aliyefaulu kati ya gpa ndogo na kubwa.
Eg. 3.5 na 3.8
Kifupi anatakabkujua ufaulu unavyopangwa kwa mtindo wa GPA
 
Anachotaka kujua ni yupi aliyefaulu kati ya gpa ndogo na kubwa.
Eg. 3.5 na 3.8
Kifupi anatakabkujua ufaulu unavyopangwa kwa mtindo wa GPA
Ahahahahaha hapa unanielekeza chaka mkuu..!! Karudie kusoma swali lake
 
Lakini, kumbuka hao ma-engineer ndio wanapokea mshahara mnono na marupurupu kibao kumzidi huyo kijana wa VETA.

Vyeti vya elimu ya juu bado Vina faida kubwa sana kwenye ajira. Huo ndio ukweli.
 
Unaupima uwezo wa Mechanical Engineer kwenye kufungua engine ya gari..!!!! Unazijua topics wanazosoma?
 
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.

Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.

Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.

Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Ulitaka ile ya 35 kama ya yule Mjita aliyeulizwa na JPM?
 
Hili la kufanyiwa interview na wenzetu wa nje,nakukubalia 100% ,hawana longo longo
 
Kikwete alikuwa na GPA ya 2.5 lakini amekuwa raisi Tanzania.Tunao viongozi wetu wengi na wafaham wana GPA ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…