Ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya Wanyarwanda, walionusurika kuuawa mwaka 1994

Ok. Basi kama aliweza kudungua ndege hiyo maeneo ya uwanja wa ndege, sioni sababu ya uwepo wa hiyo serikali iliyokuwepo.

Pingeni mnavyojisikia, maisha waliopitia waliotangulia na walionusulika, haitakaa itokee kamwe. Waliuwawa kinyama, kikatili, ila walionusulika wana wajibu wa kuhakikisha wanaishi, japo bado wahutu mnadokoa mmoja mmoja.
 
Cjaelewa nini mkuu. Nauliza mbona idara na taasisi na kurugenz karibu zote zinaendeshwa na watutsi? Au nikuwekee picha na kazi zao hapa
Huhitaji kuweka. Kwa sababu, walioikomboa nchi ni kina nani? Hao hao waache washikilie nafasi zao. Haya, unayaongea leo, ungeuliza walau wahutu walioisaidia RPF kumaliza mauaji ya watutsi na hawajapewa nafasi
 
Kama ambavyo wanyarwandq hasa watusi wanavyoua wabantu wa Congo DR ama Zaire , kwa sasa historia ya Rwanda haisikitishi tena bali imeongeza chuki dhiki ya watusi
Wahutu wa DRC wanaouliwa ni kina nani? Na kwa nini?
 
Kwa namna Kagame anavyowatenga Wahutu kwenye ngazi za uongozi naamini mauaji yatakuja rudia tena. Ngoja Kagame atoke madarakani au auawe
Waliotengwa ni kina nani mkuu? Hizo takwimu unazitoa wapi? Unachokiita mhutu na mtutsi,unavipimaje wewe?! Wanasoma,wanasomeshwa vyuo vya nje,kwa gharama za serikali,then hawapewi nafasi? Weka akiba ya maneno basi.
 
Huhitaji kuweka. Kwa sababu, walioikomboa nchi ni kina nani? Hao hao waache washikilie nafasi zao. Haya, unayaongea leo, ungeuliza walau wahutu walioisaidia RPF kumaliza mauaji ya watutsi na hawajapewa nafasi
Sasa si tunarud pale pale mlibaguliwa na sasa mnawabagua. Ni kula kwa zamu tu
 
Kuna watu pia wanadai wahutu waliokufa. Ni kweli, wapo, kwa kuuliwa na wenzao, wengine kwa kisasi cha waliouliwa ndugu zao.
Mbona unapotosha pia!! RPF ilipovamia Rwanda mpaka kuteka Kigali hadi kuingia DRC kusaka waasi haikuua hata mtu mmoja?
Embu jiulize kivipi mauaji yawe dhidi ya watutsi alafu mauaji yakiisha Rais na jeshi linakua chini ya mtutsi?
Huu upotoshaji ndio unaharibu kabisa, huko Kibeho, Cyangugu, Gisenyi, Ruhengeri hakukua na hutu massacre?
 
Tafuta pia:

1. The 600
2. 94 Terror
3. My neighbor, my killer
4.Keepers of Memories(2004)
5. 100 days
6. Shake hands with the devils
7. Shooting dogs
8. MUNYURANGABO
9. A Sunday in Kigali
Kuna yotote inayoonyesha RPF ilivyoshiriki kuua wahutu na hatimaye kuteka nchi?
 
ni World Wide inatambulika hivyo sababu hao watusi were targeted.
Kumbe Tutsi were targeted vipi sasa kulikua na watutsi laki 4 pekee hapo Rwanda ila waliokufa ni watu zaidi ya laki 8 hadi million moja, sasa hao laki 6 means ni wahutu!! Sasa cha ajabu inaitwa genocide ya tutsi sio Rwanda.

Hao RPF ni kwamba hawakuua mtu? Yaani tufanye watutsi million 1 waliuwawa basi je hao RPF waliwezaje kushinda vita bila kuua mhutu hata mmoja?

Uzi umejaa propaganda huu hakuna facts.
 
Waliwezaje kushinda vita bila kuua? Walioliwa waliokutwa kwenye handaki? Au walitakiwa waue,af RPF ije iwape maua kwa walichokuwa wamefanya!
 
Kama wahutu pia waliuliwa, Kwa nini wahutu hawatajwi ? Inaitwa Tutsi genocide ?
Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!
 
Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!

naona sasa Unaleta logical fallacy.

Swali langu jepesi, kwa nini wahutu waliouwawa wanawekwa pembeni,, haiitwi hutu + tutsi genocide ?

Ila inaitwa tutsi genocide tu ?
 
Je, kwa nini waliuliwa! Hili ndo lingekuwa swali: Kwa nini watusti waliuliwa? Na kwa nini wahutu waliuliwa!
Enewe, labda kukuongezea, ifahamike kwamba, Interahamwe zilikuwa na mpango wa kuhakikisha habaki mtutsi hata mmoja. Watutsi hao, hawakuwa matope, wengine waliweza kujihami na kuuwa interahamwe hao.

Pia, hiyo RPF unayoisema, ilikuwa na siraha,na haikuwa inapigana na ndege. Jeshi la serikali la kipindi hicho, ambalo wanajeshi wahutu walishiriki mauaji dhidi ya watutsi, na adversary wao ambae ni APR kipindi hicho, hizo risasi zilizoua wapigananaji wa APR, na za kwao ziliua wahutu na interahamwe.

Pia ikumbukwe, wahutu wengi waliuwawa na wahutu wenzao, kwa kutaka kuwakingia kifua watutsi, au kukataa kushiliki mauwaji hayo.
 
imhotep njoo huku kunakufaa zaidi ili utoe comments zako huku.
 
naona sasa Unaleta logical fallacy.

Swali langu jepesi, kwa nini wahutu waliouwawa wanawekwa pembeni,, haiitwi hutu + tutsi genocide ?

Ila inaitwa tutsi genocide tu ?
Sababu ni kwamba watutsi ndo walikuwa wanatafutwa wauwawe. Lengo lilikuwa kuhakikisha hakuna mtutsi atakaebaki nchi nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…