Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Sasa nikwambie hivi waliyokuwa wanamlinda ni huyo jamaa ni ISI walipoona hana shida ndiyo wakaunguza picha hawakujua wenyewe kupitia hizo mbinu.Mkuu kumbuka kuwa yule aliyekuwa akiishi na Osama aliweza kudukuliwa na CIA, mpaka wakamvuta kwenye satellite ikawa rahisi kujua anaishi nyumba gani. Baada ya hapo kazi ikawa imekwisha. Mzungu akiamua kukufungia kazi ni ngumu kuchomoka.
Unajua wametumia pesa kiasi gani tangu waanze kumuwinda Osama?.
Mkuu naona unabishana na CIA pamoja na intelligence nzima ya USA. Labda chanzo chako cha habari na changu vinatofautiana.Sasa nikwambie hivi waliyokuwa wanamlinda ni huyo jamaa ni ISI walipoona hana shida ndiyo wakaunguza picha hawakujua wenyewe kupitia hizo mbinu.
Ujasusi waache ISI kama walivyo, mmarekani aliletwa hakuja mwenyewe nyingine ni porojo zao tu.
Kwani wakishindwa watakwambia, basi wangetumia hiyo satellite na hizo ndege kumaliza ishu ya Afghanistan ambapo wanapambana na isi wakitumia migongo ya vikundi vya wanamgambo.Mkuu naona unabishana na CIA pamoja na intelligence nzima ya USA. Labda chanzo chako cha habari na changu vinatofautiana.
Rada za Pakistan zilishindwa kuziona ndege, wewe unakuja na hadithi ya ISI!!.
Hao jamaa wa Afghanistan wanapasuliwa vichwa na wale snipers kila siku. Zile bunduki zenye darubini zinazoona maili tatu, zinawapasua vichwa hao jamaa kila kukicha.Kwani wakishindwa watakwambia, basi wangetumia hiyo satellite na hizo ndege kumaliza ishu ya Afghanistan ambapo wanapambana na isi wakitumia migongo ya vikundi vya wanamgambo.
Lile tukio ukilifuatilia lina utata mtupu, mambo mengi wameficha
Sasa kwa taarifa yako ISI ndiyo wanafanya vita iwe ngumu na sababu si hiyoHao jamaa wa Afghanistan wanapasuliwa vichwa na wale snipers kila siku. Zile bunduki zenye darubini zinazoona maili tatu, zinawapasua vichwa hao jamaa kila kukicha.
Ni ngumu kushinda vita ambayo mtu yupo tayari kujilipua bomu. Nadhani umeona pale Kenya yule jamaa alivyojilipua.
Sisi wa kwetu hata uwafundishe vipi hawawezi kuiva ki betle kwa sababu tumboni mwao kuna magimbi,miogo au makande.I mean askari yupo training lakini mawazo yake yapo nyumbani mwanae karudiswa shuleni kwa sababu ada. SO HAO UNAOSEMA SAS AU NEAVY SEAL HAWANA NJAA NA UTEUZI WAO SIO KUUNGANISHIANA KAMA SISI(BABA KANITUMA).Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.
Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.
Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wewe unataka awe staff sergeant wa jw(babu)Mkuu mbona huyu jamaa hajakaa ki off duty off duty? Naangalia nyenzo zake si za ki off duty…
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hassan, naona siku za karubuni umewasoma sana hao jamaa, sio kwa kuwaelezea huku!.Sasa kwa taarifa yako ISI ndiyo wanafanya vita iwe ngumu na sababu si hiyo
Nani amekudanganya kwamba hao magaidi waliuwawa ama kuzibitiwa?wakenya wanacheza movie zao kama ule uongo wa jeshi kuwadhiti magaidi kwenye tukio LA westgateMazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth
Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal
Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.
SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.
SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444
Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Hao ndiyo pekee waliyomtumia kibaraka wao akaibe formula ya bomu la nyuklia Uholanzi, wakaiuza kwa nchi nyingine kujipigia pesa nyingi.Mkuu Hassan, naona siku za karubuni umewasoma sana hao jamaa, sio kwa kuwaelezea huku!.
Hahaa kijana. Unadharau geshi retu?Sisi wa kwetu hata uwafundishe vipi hawawezi kuiva ki betle kwa sababu tumboni mwao kuna magimbi,miogo au makande.I mean askari yupo training lakini mawazo yake yapo nyumbani mwanae karudiswa shuleni kwa sababu ada. SO HAO UNAOSEMA SAS AU NEAVY SEAL HAWANA NJAA NA UTEUZI WAO SIO KUUNGANISHIANA KAMA SISI(BABA KANITUMA).
Nitarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wangekuwa bora kiasi hicho Pakistan ingekuwa mbali sana hata katika udukuzi wa kimaendeleo. USA na Russia wana maendeleo ya kiuchumi na kijamii kutokana na inteligensia zao. Pakistani zaidi ya ardhi yao kuotesha sembe hawana kipya.Hao ndiyo pekee waliyomtumia kibaraka wao akaibe formula ya bomu la nyuklia Uholanzi, wakaiuza kwa nchi nyingine kujipigia pesa nyingi.
Pia wakaunda bomu lao la kwanza la Nyuklia bila watu kuchezesha msuli. Kuja kushtuka linajaribiwa, ndiyo wazungu wakajua wamepigwa.
Bado wana mission wamezifanya hata New york
Sasa kwa taarifa yako ISI ndiyo wanafanya vita iwe ngumu na sababu si hiyo
Mkuu kwa matukio kama hayo kutokea vifo ni kawaida hata kama wawepo hao SAS,kinachoangaliwa ni kupunguza ukubwa wa madhara na vifo.Rejea Operation thunderbolt kule Entebe miaka hiyo.Mbwembwe hizi za kusifia zingekuwa na mantiki sana kama kusingekuwepo na ndugu zetu waliopoteza Maisha, vyenginevyo ni mapambio tu
Kiongozi upo nje ya behewa, huu ni ubishano uliianzia huko juu. ISI ni intelligence agency ya Pakistan,waliyoframe tukio zima la Osama kuvamiwa 2011. Ni out of the topic kama jamaa mmoja alivyotoka njeHapa unazungumzia unit mbili tofauti zenye kazi mbili tofauti. ISI ni intel gathering organization ...
Wakati SAS ni direct action element. Counter terror group.
Maybe ungesema MI6 labda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale ni no talking, action only ndo maana huwajui. Wameshakaa namba moja kati ya shirika la kijasusi kwa miaka kadhaa duniani, uwe unafuatilia mambo si propaganda za Magharibi kujitapa. Wakati hao majamaa, walishanawa mikono kila wakikata tongeKama wangekuwa bora kiasi hicho Pakistan ingekuwa mbali sana hata katika udukuzi wa kimaendeleo. USA na Russia wana maendeleo ya kiuchumi na kijamii kutokana na inteligensia zao. Pakistani zaidi ya ardhi yao kuotesha sembe hawana kipya.