Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,334
- 5,031
Mbna kama unautukuza sana usomi wakati ni maarifa ya kawaida kabisa tunayopata huko vyuoni sasa usomi na kamba za viatu wapi na wapi kutokujua 24 H huo ni uzembe binafsi mbnaHapa tunaangalia vitu vinavyogusa maisha ya kawaida si professions mkuu
Aaah wapi,kipi kwa mfano?Sawa. Ndio maana sijui mpaka sasa. Wewe mwenyewe jichunguze vizuri. Kuna kitu hata mtoto anaweza lakini wewe kitakushinda au hukijui
Saa haifundishwi chuoni.Duh,ila we umezidi,
Umesoma chuo gani?
Woman-umojaHivi wadau ni
Women
Au
Woman?
Nachanganya Sana aisee hata sielewagi hata ufundishe!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Pesa na mademuNianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Asante Kwa SoMo ngoja ni screen shot kabisaaaaaaa!Woman-umoja
Women-wingi
Na yanatamkwa kwa namna tofauti