Inasikitisha sana...Hili suala la kunipangia watoto linakera sana, wengine wanataka tuzae kama visungura tuteseke kama wao.
Mimi nina falsafa yangu, nimejipangia utaratibu wangu kuwa nitazaa wachache kwa kuwa malezi nayo gharama siku hizi so sitaki nizae malezi yanielemee mpaka nishindwe kuishi.
Mimi napenda majukumu na bata, sasa jitu linataka kuniletea utaratibu wake kama sio kutaka tutaabike kama wao ni nini?
Ama wasio na watoto wananyanyasika, kama tu ukiws nao unasemwa usipokuwa nao itakuwaje?
Uzae na mbwa? Au fisi?Kuolewa hutaki si uzae..!!
Unazeeka tafuta bwana,unazeeeeka tafuta bwana bwanakuna baadhi ya mikusanyiko ya familia siendi kwa ajili hiii😀
😂😂😂 mbarika wewe mchagaUsiingize yote ingiza kichwa tuu
ni shida kwa kweliSipend kuongelea stories zilizotokea kwenye pombe
Hahahaha 🤣 🤣 🤣😂😂😂 mbarika wewe mchaga
😂😂😂Tangu uanze kunywa pombe zimekusaidia nini?
jina lako mkuu linamaanisha nn kwa kiswahiliHahahaha 🤣 🤣 🤣
Hapana kwa nini boss
3,4,5,7&8Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
Inaboa, utasikiakuna baadhi ya mikusanyiko ya familia siendi kwa ajili hiii😀
Daa pole sana ngoja aje Evelyn SaltNi kweli nna kibamia, ila msiniambie 😎
Castro seedsjina lako mkuu linamaanisha nn kwa kiswahili
pole sana3,4,5,7&8
Tunapangiana maisha yaani 🤣🤣
Naongeza,SI uzae tu ...
Unaongea .....SS sijui wao wanakaa kimya🤷
😂😂Una ten hapo ya karibu?😏
si ndiyo hicho ni kichaga "mbarkikaka"Castro seeds
Hua anatoa msaada kwa sisi wenye vibamia?Daa pole sana ngoja aje Evelyn Salt
unafki tuMimi sipendi tu kusifiwa aisee!
hili nalo linatesa watu watafkiri umefeliMbona umesoma kwanini hujaajiriwa .....huwa nakereka sana yaani