Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

Moja ya maswali huwa nachukia sana...

Pale mtu anapokuuliza,
Siku hizi:
Uko wapi?

Unafanya nini?

Ulisomea nini? Utadhani anaweza kukuajiri....

Baado hujaajiriwa? Haya maswali yanaulizwa na ndugu.. huwa yanakera sana.

Inakera zaidi aanze kukupeleleza kuhusu marafiki zako.
 
Sipendi mtu kuniuliza mambo ya kuolewa!

sjui umri unaenda mara nizae, yani kama vile nina mwanae ana msubiri nimzae akamlee🙄

Na ile nikila ela za watu mtu ananiuliza kwanini nakula kama sitaki kutoa mnofu😏

Sipendi kuulizwa sikuizi nani anakula apo wkt sina ata kisingizio!😩

Sipendi kuulizwa uko wapi!😡

Sipendi kuulizwa mbona umenuna/umekasirika na ni sura yangu 🥵
 
Maneno mengine ya kijinga
Ni kuachana kubishana na upumbavu
Ni bora kukaa kimya
Ukiweka maneno mengi mabaya moyoni yanakuletea shida
Ni ya kupuuzia
Kama unajijua wewe ni nani

Hutosumbuka na maneno ya Watu
 
Ilo la ulisomea nini🙌🏾

Uko wapi siku hizi, as if kuna mahala anataka kwenda na wewe, ukimcheki kapauka una nafuu😆
 
Ndio maisha
Hayo hayo ndio yataulizwa sana kwako
 
“Unamjua Kisandu, haya account yako ya zamani ni nani?”
 
Sina jinsi

Kitu ingine sipendi kuongeleshwa na wakaka barabarani lkn sina jinsi ndo maisha najikaza tu muda mwingine unaambulia tusi😂
Kabisa
Na vp ile unapigiwa Simu na mtu saa8 USIKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…