kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
watu bwanaMoja ya maswali huwa nachukia sana...
Pale mtu anapokuuliza,
Siku hizi:
Uko wapi?
Unafanya nini?
Ulisomea nini? Utadhani anaweza kukuajiri....
Baado hujaajiriwa? Haya maswali yanaulizwa na ndugu.. huwa yanakera sana.
Inakera zaidi aanze kukupeleleza kuhusu marafiki zako.
nimekutukana 😀😀😀😀Unazeeka tafuta bwana,unazeeeeka tafuta bwana bwana
sitawezaNimekupenda bure ila usiwe unaomba hela
😹😹 Wanakusubiri uzae waendelee kukusimanga..!!Zaa sasa,.... singlemom wote ni Malaya tu!
hata me huwa inaniboa ndio unajua me ni mpole sa si ukae kimya ubaki nayo kichwani kwako kwamba jamaa ni mpole🤣🤣Mademu wengi huwa wananiambia mbona wewe mkaka ni mpole sana.
As if kuwa mpole ni dhambi
🤣🤣🤣🤣afu ni upo ugenini unaulizwa swali kama hiloMtu ananiuliza "umeshiba?"
Wakati anajua kabisa kanipakulia chakula kidogo.
Nitashiba maji, achana na mimi.
Huwa nazima kuepusha hayo, sitaki kabisa!Kabisa
Na vp ile unapigiwa Simu na mtu saa8 USIKU
Acha tu mkuu, yaani chakula kanipakulia yeye kidogo.🤣🤣🤣🤣afu ni upo ugenini unaulizwa swali kama hilo
🤣🤣 Mpaka ufe kwa depression...msibani wachangishane😹😹 Wanakusubiri uzae waendelee kukusimanga..!!
Tombeka wewe uzaeee 🤣🤣🤣🤣Kuolewa hutaki si uzae..!!
Wakati huo upo TUNGI hahahaTangu uanze kunywa pombe zimekusaidia nini?
AiseeWatu wanahisi kabisa kwamba haiwezekani mtu usome halafu usiajiriwe, wanadhani nimeamua kukaa tuu mtaani wasijue hali ya ajira ni tete.