Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Aisee,asante sana mkuu hakika umeifanya siku yangu kuwa nzuri,maana nimekutana na mtu anaejua mambo ninayoyajua,yaani kama vile producer Duke touches anapokuwa na akina One,Stereo,Songa ,Mbishi.utafurahi wewe
Amani na upendo mkuu.
 
Kuacha unafiki nahakikisha pesa zangu kwenye tight, kitambulisho chini ya mto then kusali japo kusahau kupo.
 
Mm siwezi kulala bila kumwomba MUNGU. na niamkapo pia hufanya hivyo..MUNGU ni mwema kwangu.
 


Poa kaka, nimekupata. Ni bangi ipi unapenda sana kati ya hizi zilizochanganywa na kemikali na zile original za shambani?
 
Poa kaka, nimekupata. Ni bangi ipi unapenda sana kati ya hizi zilizochanganywa na kemikali na zile original za shambani?
Mkuu mimi mixer sipendelei ukinipa nitoe dry ndio Safi japo of of dry inazingua kwenye kuwaka inakuwa kama inazima Ila sio kesi natumia
 
Siwezi toka home bila kusali Sala ya Bwana, my phone,charger,earphones and handbag
 
to think about creation and death.Naishia kusema Mungu kweli hapo umeshika jeuri za walimwengu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]... Mkuu mimi asubuhi lazima niroll joint mbili nivute... Nipo chuo fulani hapa tz,then naingia class na mishe mishe nyingine.Jioni tena naroll joint mbili napiga nikishushia na Maji.Basi usiku usingizi murua.
 
Mkuu umenikosha sana.... Kiufupi nakubaliana na 2pac kwamba ain't nothing like old school hip-hop... Napenda sana oldies kuliko kila kitu.2pac anabaki kuwa best rapper na my favorite MC of all the time,umenikumbusha storm alikuwa kwenye album ya all eyez on me pamoja na member wengine wa outlawz.
Hakuna album ya 2pac ambayo sina pia hakuna nyimbo ambayo utaitaja nisiijue... I got much love for him.
Mkuu nikukumbushe kidogo na crew kama N.W.A iliyoconsist DJ yella,Dr Dre,Eazy E,Mc ren na ice cube... Kundi jingine gangstarr nikimuongelea MC guru na DJ premier.... Jingine lost boyz,naughty by nature,erick b and rakim,boogie down production,tribe called quest,Geto boyz hapa una mkuta baba la baba Scarface.
Usiku ndo nasikiliza hizo Ngoma mpaka asubuhi.nikiwaongezea na outkast,dilated people,leaders of the new school,Run Dmc,Salt N Pepa,D La Soul,Sugar hill gang hapa unakikuta kitu cha rappers delight na makundi mengine kibao nikiyataja ntajaza bila kumsahau will Smith alikua akijiita fresh prince.
Mimi niwa 96 lakin huu mziki ndo umenikaa akilini.
Duh umenifanya niongee mengi sana.
 
Dumpin... Hussein fatal kaua,ila 2pac alibast mpaka raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…