Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!
Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi ; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Kwa wale wanaotegemea miwani kuona vizuri au kusoma ni vigumu sana kwenda mbali bila kuibeba hasa ikitiliwa maanani siku hizi simu zinatumika kwa mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…