Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 983
kudulumiwa mpenziii wanguu mpaka leo sijaponaa😭😭😭😭😭Uzi unajieleza wakubwa..
Funguka utueleze ili tupate kujifunza.
karibuni
kudulumiwa mpenziii wanguu mpaka leo sijaponaa😭😭😭😭😭Uzi unajieleza wakubwa..
Funguka utueleze ili tupate kujifunza.
karibuni
kuna jamaa yangu wa kuitwa Juma, yeye alikuwa kijana mpambanaji aliyefanya kazi ngumu ya ubebaji mizigo kwa miaka takaribani sita ili kutimiza ndoto yake ya kufungua duka, akifanikiwa kuweka akiba ya shilingi milioni kumi. Alimwamini sana bosi wake Mzee Musa, mtu aliyeheshimika mtaani, ambaye alimuuzia kiwanja feki cha biashara na kuchukua pesa hizo taslimu bila mkataba wa kisheria. Juma alipokuja kudai hati yake wiki iliyofuata, mzee huyo alimgeuka na kumkana kama hamjui, na kwa sababu mashahidi walihongwa kumkataa, kesi yake ilikufa serikali ya mtaa na polisi, jambo lililomfanya apoteze jasho lake lote la miaka sita kwa dakika chache tu.Uzi unajieleza wakubwa..
Funguka utueleze ili tupate kujifunza.
karibuni
MGanga angenichelewesha hy nilimvizia kwa miaka hd alipojaa mzima mzima mn alijua nilikufaDuh! Mganga ndo alifanya hii kazi au uliifanya mwenyewe?
Kama ni mganga nielekeze alipo anisaidie jambo langu moja hivi.
Hongera sana! Dawa ya moto ni motoMGanga angenichelewesha hy nilimvizia kwa miaka hd alipojaa mzima mzima mn alijua nilikufa
Akawatuma tena vijana wake raund hy walikuta nna Tag linalofika parefu wakamwachia zigo lake apambane mwenyewe
Daah weeeeh,Kifo ni adhabu ndogo sanaa kwa adui yako watu hamjui tu!
Hiyohiyo ya upofu ndo nzuri ila ungemuongezea na bawasiri
Kuna watu wanajikuta miungu watu, sasa ukiwabahatisha wape adhabu ya maanaDaah weeeeh,
We noma😁
Nawe mtafute mnyonge mdhulumu mpenzi wake,kudulumiwa mpenziii wanguu paka leo sijaponaaaa 😭😭😭😭😭
Kuna mmoja humu alisema aliwa@ombesha moto,waliomuibia🙌Kuna watu wanajikuta miungu watu, sasa ukiwabahatisha wape adhabu ya maana
😅😅 Mie kitu nisichoweza ni kuingilia mahusiano ya mtu ( hii kwangu nidhamu ipo juu sana kwenye hili ). Mda najua mtu flani ana date na mtu flani ganzi inakataa.. Mie nitabaki na single wenzangu tusio na mpango wa kuwa na mahusiano ya kudumu ndio wana nifaaNawe mtafute mnyonge mdhulumu mpenzi wake,
Bora aliporwa😁,😅😅 Mie kitu nisichoweza ni kuingilia mahusiano ya mtu ( hii kwangu nidhamu ipo juu sana kwenye hili ). Mda najua mtu flani ana date na mtu flani ganzi inakataa.. Mie nitabaki na single wenzangu tusio na mpango wa kuwa na mahusiano ya kudumu ndio wana nifaa
Kipindi wananipola nilikuwa good boy church boy kwaya mastaaa yani nime nyooka kama rulaaa 😁😁😁Bora aliporwa😁,
in short hata siwezi kueleza!Uzi unajieleza wakubwa..
Funguka utueleze ili tupate kujifunza.
karibuni
Kipindi wananipola nilikuwa good boy church boy kwaya mastaaa yani nime nyooka kama rulaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,walikulipa lakini😁Walionifanyisha kazi usiku na mchana siku 6 na kunilipa elfu tano eti nilikua kwenye majaribio.
duh! Pole sana mkuu.Waagiza mizigo hawa uwe unamjua au humjui ni hatari! Nimetapeliwa mara mbili! Mmoja tu kisa ni mme wa askari hata hakuwaza! Inaumiza jamani!