Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,657
- 2,723
Jamaa naona alipata tabu....Mimi ilinitokea buchani. Bahati mbaya au nzuri walikuwa wawili na mimi nikawa sikumbuki nimempa yupi kati yao...nilichofanya nikamng'ang'ania mmoja
Jamaa naona alipata tabu....Mimi ilinitokea buchani. Bahati mbaya au nzuri walikuwa wawili na mimi nikawa sikumbuki nimempa yupi kati yao...nilichofanya nikamng'ang'ania mmoja
Halafu nina huruma kinoma ila kuna watu wanajikuta Miungu watuWe dada! Komenti zako leo zinanitisha
Halafu Huwa wanakaza macho🥹Mimi wa hivi hata sijisumbui kuanza kumkumbusha namtazamaaaaaa
Ndio hivyo hii mada ni ya tuliodhulumiwa tuSijasema nimetaka , soma tena kwa ufahamu
Sasa utafanyaje? Mtu yuko mbali mzigo haufiki utamfanyaje? Unamuacha tu unaanza upya!Mda mwingine inakuwa tuja... mtu anakuzoea tu! hayo kwangu sio maisha!
Naelewa , sijakataa nimetoa maoni yangu tu kwani wewe ulitaka nitoe maoni yapi?Ndio hivyo hii mada ni ya tuliodhulumiwa tu
Kuna konda kwenye daladala oyaah! Hapo umempa hata ef 10😤Ushawahi kwenda Dukani,ukampa pesa muuzaji akakupa bidhaa then akakukana kuwa hujampa pesa!?
Hii ilinitokea udogoni,aisee yule mmama Huwa simsahau,kipindi hicho elfu mbili ni pesa nyingi.,nililia sana.
Atajua mwenyewe kikubwa mimi hela nilitoaJamaa naona alipata tabu....
Ukome khanji baii😂Nine million tsh eti nanunua gari🤣🤣🤣
******* wakala kiela changu
Kwenye daladala nayo inawatokea watu wengi,Kuna konda kwenye daladala oyaah! Hapo umempa hata ef 10😤
Yeah..ukiwa na uwezo unapambana nao Mungu tunamuachia yaliyo nje ya uwezo wetuHalafu nina huruma kinoma ila kuna watu wanajikuta Miungu watu
Utoe ushuhuda ulichodhulumiwa basi!Naelewa , sijakataa nimetoa maoni yangu tu kwani wewe ulitaka nitoe maoni yapi?
Sijui huwa ni kwanini! Huwa nabadilika nakuwa kama ngiri! Mpaka narudishiwa change yangu!Kwenye daladala nayo inawatokea watu wengi,
Halafu Huwa wanakaza macho
Yeah..ukiwa na uwezo unapambana nao Mungu tunamuachia yaliyo nje ya uwezo wetu
Inahitaji uwe na moyo!Sasa utafanyaje? Mtu yuko mbali mzigo haufiki utamfanyaje? Unamuacha tu unaanza upya!
Ningekuhonga wewe tu unipe tamu😋Ukome khanji baii😂
Kabisa!Inahitaji uwe na moyo!