Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwani hukuwahi kupata nyingine tena? Hebu lete hapa nione namna ya kukubless😎Ningekuhonga wewe tu unipe tamu😋
Kwani hukuwahi kupata nyingine tena? Hebu lete hapa nione namna ya kukubless😎Ningekuhonga wewe tu unipe tamu😋
Na konda nae anakuwa anajizungushazungusha ukimpa pesa kubwa😁,Sijui huwa ni kwanini! Huwa nabadilika nakuwa kama ngiri! Mpaka narudishiwa change yangu!
Refa alituzulumu mashabiki wa misri.Utoe ushuhuda ulichodhulumiwa basi!
Nina afu tatu😤😤Kwani hukuwahi kupata nyingine tena? Hebu lete hapa nione namna ya kukubless😎
Wanatufanya siku hizi usiporudishiwa change on time roho inakaa juu juu! Mpaka ufike unapoenda tumbo limejaa gesi🤦🏽♀️Na konda nae anakuwa anajizungushazungusha ukimpa pesa kubwa😁,
Mwisho anakukana.
Achana na dhulma za makundi, njoo na yako! Au tukuanzishie uzi wa waliodhulumu huenda tukapata funzo?😎Refa alituzulumu mashabiki wa misri.
nimetamani kujua ilikuwaje akakudhulumu pesa zote hizo kama hutajali tafadhali190M+ jambo zuri mhusika alipata alichostahili hela alibaki nayo lkn haoni kbs
Takataka! Pelekea mahala pengine😏Nina afu tatu😤😤
Mtu akichukua mali yako usimtake akurudishie.Kabisa!
Aisee Huwa situliagi,macho juu juu😁,Wanatufanya siku hizi usiporudishiwa change on time roho inakaa juu juu! Moaka ufike unapoend atumbo limejaa gesi🤦🏽♀️
Hiyo bukutatu lubumbashi apo mbezi napata mademu wawili🤣🤣🤣Takataka! Pelekea mahala pengine😏
Nilituma nauli na ile yakutolea akaangia mitini , kataa na hiyo tenaAchana na dhulma za makundi, njoo na yako! Au tukuanzishie uzi wa waliodhulumu huenda tukapata funzo?😎
Mtu achukue mali yako bila idhini yako halafu uidai inageukaje dhambi? Mimi najua haki yangu lazima niidai basi!Mtu akichukua mali yako usimtake akurudishie.
Kwa hiyo nikimwambie anirudishie nakuwa na dhambi tena au ? Au wewe hua unaelewaje!
Huwa wana kaushenzi sana! Basi tu nikisema nilipigana nao ntaonekana mshenzi tu😂Aisee Huwa situliagi,macho juu juu😁,
Na unaona kabisa pesa kazishika lkn kukurudishia anajizungusha.
Kwa buku jero tu? Mbona kasheshe! Wana njaa kiasi gani?Hiyo bukutatu lubumbashi apo mbezi napata mademu wawili🤣🤣🤣
Hii ni minor case bwana! Nani hajaliwa nauli? Njoo na ile ituache midomo wazi😁Nilituma nauli na ile yakutolea akaangia mitini , kataa na hiyo tena
Mtu anakukazia na kisukari juu, kama una nguvu ni kupigana nao tu😁Huwa wana kaushenzi sana! Basi tu nikisema nilipigana nao ntaonekana mshenzi tu😂
Zanzibar au wapNine million tsh eti nanunua gari🤣🤣🤣
******* wakala kiela changu
Luka 6:30-33Mtu achukue mali yako bila idhini yako halafu uidai inageukaje dhambi? Mimi najua haki yangu lazima niidai basi!