Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mimi sio mwokozi wako we kama unaenda nenda tušBasi naomba unipe nisiende kuleš¤
Mimi sio mwokozi wako we kama unaenda nenda tušBasi naomba unipe nisiende kuleš¤
Siajkuelewa mkuu!Dua ya mwenye kudhulumiwa huwa hairudi chini
Anajua uko empty setWaagiza mizigo hawa uwe unamjua au humjui ni hatari! Nimetapeliwa mara mbili! Mmoja tu kisa ni mme wa askari hata hakuwaza! Inaumiza jamani!
Nimeelewa hapo kwamba aliingia mitini, kwa hiyo ulikarabati kisha ukahamia?nilitoa hela akarabati kwanza ili niamie. Nyumba haikuwa ya kisasa. Alaf akaingia mitini bila kukarabati.
Sasa Mama wa Miaka 65 alikosa Watoto wake wakiume wakumsaidia?. Wamama kama hao wameanza tabia za wizi tokea Wapo VijanaAlinyooka sana ššš Mama wa 60yrs + unaenda wekwa segerea na vijana kama wanao kwa kesi ya wizi wa kuaminika.
Aibu aliona na cha moto alikiona.
Nilikuwa nacheza na karan wa Mh Hakim ambaye kesi iko kwake.mdada mmoja. nilipewa connection na afande wa osterbay . Nilimpa laki 1. Na baadae 50k. Ila kaz aliifanya kwa wiki 3. Bi mdash akawa anakosa dhamana šššš. Kila wakija kumuwekea dhamana. Yule Karan anasema haijakamilika. Imekosa hiki au hiki .
Huyo mtu ungemvunja na kiuno maana ni katili haswaNiligongwa masaa zaidi ya 6 hd wakavunja miguu, pua
Nililalia upande mmoja miezi zaidi ya 4
Mikono km ilikata mawasiliano sababu ya kuzuia magongo yasinifike usoni
Nilikuwa nikilia kila napotaka kusimama kwa maumivu
Harufu ya damu niliisikia kwa miezi
Bd matusi na kwenda kupiga hd wadogo zangu
Hy nilitakiwa kumuuwa kabisa
let me declare interest first: mimi ni risk taker toka utotoni, na sina uoga kwa yeyote.
nikiwa katika 20+ wakati huo dogo tu, nikapewa deal... deal lenyewe ni la biashara ya madini.. nikaambiwa natakiwa nitoe 15M tununue kisha nipate 100M ya mgao, wakishayauza. wakati huo ni heya nyingi sana. niliingiwa na tamaa sana.
nikaparangana nilivyoparangana, nikadanganya nilivyodanganya, nikajinyima mpaka tone la mwisho, nikaipata. nakumbuka gf wangu nilimdanganya akanichangia 5M, sijui aliwadanganyaje ndugu zake.
yule jamaa akaniambia issue hii ni ya siri, na kaulimbiu ni trust.. basi, nakumbuka nilimpa cash kabisa.. na siku hiyo niliiweka hela kwenye begi pamoja na minguo mingi mno ili nizuge...
nahisi kulia.... nisiendelee sana... ila pale kwenye lile daraja, sitopasahau, ndipo pesa zangu zilipokwenda na mpk leo hazijarudi...
ila kwa kuwa mimi ni hustler toka utoto, pia ni mtoto wa mbwa, siwazi... na umri huu wa utu uzima, nimeshajilipa mara nyingi mno ya ile hela. kudhulumiwa kunauma sana
Mtu aliyedhulumiwa akinyanyua mikono juu kumshtakia / kumuomba Mungu basi dua yake hairudi chinu kwa maana inafika moja kwa moja kwa Mungu...(inajibiwa).Siajkuelewa mkuu!