min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hizo huwa nafanya kama sadaka tu , nasonga mbele , niliohisi wamenidhulumu , nilipokuja kuchunguza nilijua walikosa tu , hivyo nilishazika hayo .Hii ni minor case bwana! Nani hajaliwa nauli? Njoo na ile ituache midomo wazi😁
Ila hili la kutuma nauli na ya kutolea , na kuingia mitini ni zaidi ya dhuluma sasa ni unyanyasaji wa kijinsia.