Ni kitu gani ulishawahi kudhulumiwa maishani mwako na kinakuuma mpaka leo hii?

Ni kitu gani ulishawahi kudhulumiwa maishani mwako na kinakuuma mpaka leo hii?

Afisa masoko wa wilaya moja alimwaga bidhaa za mama angu kwenye gulio nikiwa mdogo kisa kazidisha mstari uliowekwa kupanga vitu. Sijawahi ku heal na ikitokea nikamjua yule ntamalizana nae kwa namna yoyote ile. Alimwaga kwa dharau sana.
 
Ungekua unamjua huyo adhabu yake ni kuanzisha mahusiano na binti yake mpendwa unatangaza ndoa halafu unamuacha kanisani siku ya harusi.
 
Ushawahi kwenda Dukani,ukampa pesa muuzaji akakupa bidhaa then akakukana kuwa hujampa pesa!?

Hii ilinitokea udogoni,aisee yule mmama Huwa simsahau,kipindi hicho elfu mbili ni pesa nyingi.,nililia sana.
Mimi ilinitokea buchani. Bahati mbaya au nzuri walikuwa wawili na mimi nikawa sikumbuki nimempa yupi kati yao...nilichofanya nikamng'ang'ania mmoja
 
Back
Top Bottom