Ni kitu gani ulishawahi kudhulumiwa maishani mwako na kinakuuma mpaka leo hii?

Hiyotabia alikua nayo muuza vitu shuleni kwetu sasa huyo Bibi alikua anauza Ice-cream na vitu vyakula kula, Huyo Bibi alikua ni Mzazi wa Mwalimu weu Mwalimu Komba alikua Mke wa John Komba wa CCM, Sasa huyu Bibi alikua natabia ukimpa pesa ili akupe Sambusa na Ice cream yeye anakugeuka abasema hujampa pesa hii tabia yake ilikua kila mwanafunzi inampata, Sasa ikabidi Wanafunzi tujiongeze unachukua Sambuza unakimbia na kutomea kusikojulikana na yeye anakua hana kumbukumbu kwasababu anakua kazingirwa na Wanafunzi wengi na Bibi mwenyewe alikua mlemavu, ilikua ni mwendo wa kuchukua Sambuza na ice cream na kukimbia, na Mwingine alikua tunamuita John Mapipi yeye alikua ameweka limeza likubwa na amepanga pipi big g, Biscuit ikipigwa kengere ya Mapumziko tu Watoto tuna mzingira nachukua pipi za bure, Ukijiroga umpe pesa kabla ya kuchukua bidhaa anakugeuka anakuomba pesa Mara mbili.
Hii shule gani hii?
 
😄 Nilipiga picha watu mtaani kwa malipo.

Nikaendaga kkoo pale mataa ya uhuru na msimbazi kwenda kusafisha picha na kamera yangu.

Kufika pale kuna jamaa kavaa smart akanishawishi kiboya sana nikampa kamera pamoja na noti ya elfu kumi kwa makubaliano aende kunisafishia picha.

Nilisubiri tangu saa nne mpaka jua linazama.

Nakumbuka nilisimama karibu na meza wanauza rimoti kwa muda mrefu mpaka nikajua bei za rimoti, watu wakipita wananihoji wakidhani mimi ndio nauza hizo rimoti.

Na watu walivyokua wengi kama unavyoniona nilivyokua nageuza shingo kutazama labda jamaa atatokea huku labda kule.
Dar es salaam imejaa vijana matapeli...

Inaumiza sana.
 
Mimi ilinitokea buchani. Bahati mbaya au nzuri walikuwa wawili na mimi nikawa sikumbuki nimempa yupi kati yao...nilichofanya nikamng'ang'ania mmoja
Kuna mahali nilienda kula. Nikalipq upfront. Niliempa siku mark sura yake. Nimemaliza kula nadaiwa na owner. Nikamwambia nimemlipa dada mmoja. Wakaitwa wawili sikumbuki ni yupi maana wana maumbo na rangi sawa. Nikawaambia sikumbuki nimempa yupi ila nimelipa wale wadada wakakataa. Nikamwambia yule owner na wale wadada ninachojua nimelipa,ila kama mnasema sijalipa nalipa tena hela hii hapa ila naapa niliemlipa hata kula hio hela. Nilipata hasira sana maana ishakuwa scene. Waliikataa hela yangu wakaniambia kaka basi nenda tu.
 
Mwaka 2015 Dec. Nililipia nyumba ya kupanga , mwaka mzima. 300k kwa mwezi. Ina maana ni 3.6 Mill kw
Mwaka. Sema nikampa 3Mill kwakuwa ina marekebisho. Ili atumie pia hela ya kodi kurekebisha nyumba.

Jan 2016 nilitakiwa kuingia. Ninapokaa nishatoa taarifa na watu wengne washalipia 😊😊😊.
Baada ya siku 3 tu kupita , nikasema nipite kuona maendeleo. Nakuta hakuna kunachoendelea. Na mwenye nyumba hapatikan😎😎😎 .

Pamefungwa na Funguo hakunipa. Na hakuna matengenezo alifanya hata kwa wiki zote 2 za mbelen had mwisho wa Dec.

Mind you Kwake sipajui, Maana anakaa Tandika wakat nyumba iko Kinondon Biafra. Ila pale ni kwake maana had serikali mitaa na majiran wanamjua , mkataba ninao na niliandikishana mbele ya Mashahidi wangu na wake.

Jan katkat tukavunja ile nyumba , tukaingia kupiga gharama za marekebisho tena ikafika 1.5 Mill.
(Rangi, vyoo vipya, tiles vyooni, vyumban na sebulen maana haikuwa nyumba ya kisasa ingawa iko barabaran).

Kule nilipokuwa natoka niliomba wiki 2.
Hizi wiki 4 (dec,2015 katkat had jan 2016 katkat) nilikuwa hata silali . Nashtuka saa 8 usiku alaf ni kuwaza tu had majogoo. 🙄🙄🙄🙄

Nikachemsha bongo sana, nikapiga deal mbili tatu za hatar ofisin. Na nikakopa kidogo na nikapata hela nyingne 4.8 Mill ndan ya mwez, nikapachukia Kinondon na nikahamia Kijitonyama.

Sasa Feb 2016. ☺☺☺☺Baada ya kufanikiwa kuamia Knyama, na ndio akil yangu ikatulia. Nikarud kumsaka yule Bi mdashi. Alikuwa na 60yrs+ hivi kipind hiko.

Nilimpata , nilimsearch kwa mitandao. Nikatumia polisi. Nikamvuta mwanae wa Kike. (Kalikuwa kabaya huwez hata dindisha, 😊😊😊 nikaona siwez tomba hii takataka) ila yeye mtoto wa kike ndio akamlengesha mama yake. Tulimfuata had Tandika kwao.

To cut a long story shot ,
Alikaa Osterbay polisi Mahabusu kwa wiki 2. Alikaa Segerea miez 2, kila akija nafanya namna akose dhamana. 😊😊😊

Siku ya mwisho mama aliomba askar magereza waniite siku amerudishwa tena mahakaman. alinipigia magoti. Amekonda. Analia sana. Nikamuonea huruma.
Tukamuachia na sikuwah kurud Mahakaman.
akapata dhamana. Na kesi iliisha coz mm sikwenda mara 3 mfululizo.

Mwez wa 6 hiv ndio kesi ikaisha.

Well ile nyumba ikikaa empty, mwaka mzima. Na siku kodi yangu imeisha nilienda nikaharibu ceeling board, nikavunja madirisha na uharibifu mwingne.

Yule hakuwah kanyaga pale had kod yangu iliisha. Maana alivyotoka Segerea alikuwa anaumwa.

Hiki kisa kinafanya kuona inawezekana hata ukawa makin kias gan kwenye Maisha . Ila Mtu unayempa dhamana. Akiamua kukuyumbisha atakuyumbisha tu.
 
Ulimnyoosha vilivyo.
 
Ulimnyoosha vilivyo.
Alinyooka sana 😊😊😊 Mama wa 60yrs + unaenda wekwa segerea na vijana kama wanao kwa kesi ya wizi wa kuaminika.

Aibu aliona na cha moto alikiona.

Nilikuwa nacheza na karan wa Mh Hakim ambaye kesi iko kwake.mdada mmoja. nilipewa connection na afande wa osterbay . Nilimpa laki 1. Na baadae 50k. Ila kaz aliifanya kwa wiki 3. Bi mdash akawa anakosa dhamana 😂😂😂😂. Kila wakija kumuwekea dhamana. Yule Karan anasema haijakamilika. Imekosa hiki au hiki .
 
Alinyooka sana 😊😊😊 Mama wa 60yrs + unaenda wekwa segerea na vijana kama wanao kwa kesi ya wizi wa kuaminika.

Aibu aliona na cha moto alikiona.

Nilikuwa nacheza na karan wa Mh Hakim ambaye kesi iko kwake.mdada mmoja. Kuna nilipewa connection na afande wa osterbay . Nilimpa laki 1. Na baadae 50k. Ila kaz aliifanya kwa wiki 3. Bi mdash akawa anakosa dhamana 😂😂😂😂. Kila wakija kumuwekea dhamana. Yule Karan anasema haijakamilika. Imekosa hiki au hiki .
Yote hii ni tamaa tu,,alikuwa na shida na hizo pesa
 
Nilikuja gundua baadae kuwa alikuwa anashida sana na hela. Kwa kipind kile. Sasa kuzima simu na kutonipa feedback ndio haswa kosa lake.

Yaan miez 2 unakaa na hela ya mtu. 3 Mill na humwambii chochote ni utapeli.

Aagh nikaona madharau haya.
Ngoja na mm ninuke😊😊😊😊.

Hapo nina viconnection vya hapa na pale . Nikaona nitumie na vilaki viwili vitatu kumkandamiza.
 
Aliko huko anakukumbuka kijana wewe😁
 
Kuna mahali nilienda kula. Nikalipq upfront. Niliempa siku mark sura yake. Nimemaliza kula nadaiwa na owner. Nikamwambia nimemlipa dada mmoja. Wakaitwa wawili sikumbuki ni yupi maana wana maumbo na rangi sawa. Nikawaambia sikumbuki nimempa yupi ila nimelipa wale wadada wakakataa. Nikamwambia yule owner na wale wadada ninachojua nimelipa,ila kama mnasema sijalipa nalipa tena hela hii hapa ila naapa niliemlipa hata kula hio hela. Nilipata hasira sana maana ishakuwa scene. Waliikataa hela yangu wakaniambia kaka basi nenda tu.
Wapuuzi 😁😁 mimi kilichonisaidia wale wakaka walikuwa tu wamejichanganya kutokana na ubize sio kwamba walikusudia kunidhulumu
 
Mwaka 2015 Dec. Nililipia nyumba ya kupanga , mwaka mzima. 300k kwa mwezi. Ina maana ni 3.6 Mill kw
Mwaka. Sema nikampa 3Mill kwakuwa ina marekebisho. Ili atumie pia hela ya kodi kurekebisha nyumba.

Jan 2016 nilitakiwa kuingia. Ninapokaa nishatoa taarifa na watu wengne washalipia 😊😊😊.
Baada ya siku 3 tu kupita , nikasema nipite kuona maendeleo. Nakuta hakuna kunachoendelea. Na mwenye nyumba hapatikan😎😎😎 .

Pamefungwa na Funguo hakunipa. Na hakuna matengenezo alifanya hata kwa wiki zote 2 za mbelen had mwisho wa Dec.

Mind you Kwake sipajui, Maana anakaa Tandika wakat nyumba iko Kinondon Biafra. Ila pale ni kwake maana had serikali mitaa na majiran wanamjua , mkataba ninao na niliandikishana mbele ya Mashahidi wangu na wake.

Jan katkat tukavunja ile nyumba , tukaingia kupiga gharama za marekebisho tena ikafika 1.5 Mill.
(Rangi, vyoo vipya, tiles vyooni, vyumban na sebulen maana haikuwa nyumba ya kisasa ingawa iko barabaran).

Kule nilipokuwa natoka niliomba wiki 2.
Hizi wiki 4 (dec,2015 katkat had jan 2016 katkat) nilikuwa hata silali . Nashtuka saa 8 usiku alaf ni kuwaza tu had majogoo. 🙄🙄🙄🙄

Nikachemsha bongo sana, nikapiga deal mbili tatu za hatar ofisin. Na nikakopa kidogo na nikapata hela nyingne 4.8 Mill ndan ya mwez, nikapachukia Kinondon na nikahamia Kijitonyama.

Sasa Feb 2016. ☺☺☺☺Baada ya kufanikiwa kuamia Knyama, na ndio akil yangu ikatulia. Nikarud kumsaka yule Bi mdashi. Alikuwa na 60yrs+ hivi kipind hiko.

Nilimpata , nilimsearch kwa mitandao. Nikatumia polisi. Nikamvuta mwanae wa Kike. (Kalikuwa kabaya huwez hata dindisha, 😊😊😊 nikaona siwez tomba hii takataka) ila yeye mtoto wa kike ndio akamlengesha mama yake. Tulimfuata had Tandika kwao.

To cut a long story shot ,
Alikaa Osterbay polisi Mahabusu kwa wiki 2. Alikaa Segerea miez 2, kila akija nafanya namna akose dhamana. 😊😊😊

Siku ya mwisho mama aliomba askar magereza waniite siku amerudishwa tena mahakaman. alinipigia magoti. Amekonda. Analia sana. Nikamuonea huruma.
Tukamuachia na sikuwah kurud Mahakaman.
akapata dhamana. Na kesi iliisha coz mm sikwenda mara 3 mfululizo.

Mwez wa 6 hiv ndio kesi ikaisha.

Well ile nyumba ikikaa empty, mwaka mzima. Na siku kodi yangu imeisha nilienda nikaharibu ceeling board, nikavunja madirisha na uharibifu mwingne.

Yule hakuwah kanyaga pale had kod yangu iliisha. Maana alivyotoka Segerea alikuwa anaumwa.

Hiki kisa kinafanya kuona inawezekana hata ukawa makin kias gan kwenye Maisha . Ila Mtu unayempa dhamana. Akiamua kukuyumbisha atakuyumbisha tu.
Sijaelewa, ulikarabati nyumba halafu hukujamia?
 
kuna vipofu tunakutana nao tunawaonea huruma ila ukichimba kiundani wengine wamepata upofu kwa dhulma zao kabisa.
Mkuu sio vipofu tu. Fikiria machizi wa mitaani. Mtoto akizaliwa taahira familia huwa inamlinda anabaki home ndani mpaka kifo chache. Machizi wengi wa kitaa asilimia kubwa ni uchizi wao ni wa kurogwa kwa dhurma, au uchizi wa bange na madawa, wachache sana ni machizi wa kuzaliwa, au kurulwa na akili kwa sababu ya msongo wa maisha.
 
Back
Top Bottom