Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 nawaelewa vyema na kununua ugomvi nawapa 5 star ratings.Ni kweli hata me siku nikivaa wee asipite mtu hovyo hovyo mbele yangu maana chupa huwa inaamka na chai ukikinga niko I umekwisha [emoji1787]
Alitakiwa akukubali kama alivyokukutaIla siku ya kwanza kukutana nae nilivaa kijora
Me ndio vazi langu kubwa kwenye mitoko toko isiyo maalumMimi mwenzenu nikiyaona huwa yananivutia sana. Ila sasa kuyavaa ndo siwezi. Yani hata kutoa pesa yangu kununua kijora siwezi. Ninayo mawili nimenunuliwa na ndugu Yana muda lakini siyavai Mara kwa mara, yako mapyaa vile vile. Ila ni mazuri kweli yani kwa kuyatazama. Wengine mpaka wanayashape. Lakini mie siwezi kabisa.
🥰 mnapendezagaAlikua ananiambia nisuke nywele za mkono tu ndo napendeza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Shenzy zakeYule alikua keshanichoka alinitaftia sababu tu. Alitaka nianze nyanyua vyuma. Yanini sasa na bado angeniacha tu
Yani hapo anakuonesha dhahiri kuwa yeye anawapenda wa aina hiyoIla kiukweli hii tabia ya kuanzia kudate na Mtu unamkuta Hana misuli unaanza force awe na misuli Kwa kweli siyo ya kuiendekeza kabisaa!ikemewe!Kwani alivyoanza kudate na usie na misuli mabaunsa hakuwaona?huko ni kuchoshana akili
Mimi mwenyewe sipendi eti hahahaEttt nisiangalie mpila tena game za saa 4 usiku khaaah
Kwenye mapenz kuna vitu sio vya kufanya kabisa maama mapenz hayanaga adabu hasa yakishafubaa, kuisha au ukishachokwa. Hutoamini kama ni yule, narudia hutoamini walahi 😔Shenzy zake
Harafu hata sielewagi ni kwanini siku nikiwa nimevaa nguo ya kawaida huwa nakua kawaida hata mashauzi yanapungua[emoji849][emoji23] nawaelewa vyema na kununua ugomvi nawapa 5 star ratings.
Ndio ILA sahiv mbona kakubali hana voko Tena juu ya vijoraAlitakiwa akukubali kama alivyokukuta
Vijora vina mapepo ya ushari shari 😂Harafu hata sielewagi ni kwanini siku nikiwa nimevaa nguo ya kawaida huwa nakua kawaida hata mashauzi yanapungua[emoji849]
Kweli kabisa! akili muhimu japo penzi likikolea akili inarukaga kidogoKwenye mapenz kuna vitu sio vya kufanya kabisa maama mapenz hayanaga adabu hasa yakishafubaa, kuisha au ukishachokwa. Hutoamini kama ni yule, narudia hutoamini walahi 😔
Kashaona havina shida naeNdio ILA sahiv mbona kakubali hana voko Tena juu ya vijora
Na huwa ni jepesi linakuachia nafasi fureshi kabisa. Ni zuri kwa kweli kwa kushindia nyumbani. Lkn Mimi yamenishinda.Me ndio vazi langu kubwa kwenye mitoko toko isiyo maalum
Kwakweli hata sipingi maana sielewi ujueVijora vina mapepo ya ushari shari [emoji23]
Akili ni muhimu sana, ukikubali hisia zikuendeshe umekwisha na nyie Ke mkishajua mwamba hana ujanja mnamkomesha kweli kweli.Kweli kabisa! akili muhimu japo penzi likikolea akili inarukaga kidogo
😅Kwakweli hata sipingi maana sielewi ujue
Kabisa!analeta dharau 🤣Yani hapo anakuonesha dhahiri kuwa yeye anawapenda wa aina hiyo
Huyo kazidi ila wapo wengi mno wa hivyo.Nisiende kumuona Mama yangu yule boya bora nilipiga chini😬