baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,799
Wee me haupiti mwezi kununua harafu kinanipaga ujasiri wa kutoka hata nikiwa na tano kichwa[emoji1787]Na huwa ni jepesi linakuachia nafasi fureshi kabisa. Ni zuri kwa kweli kwa kushindia nyumbani. Lkn Mimi yamenishinda.
Hata nyie the same!Akili ni muhimu sana, ukikubali hisia zikuendeshe umekwisha na nyie Ke mkishajua mwamba hana ujanja mnamkomesha kweli kweli.
Namimi sipendi dharau, ukinidharau hata kama nakupenda vip nakubwaga easily kabisaKabisa!analeta dharau π€£
Labda kwa tusiempenda ila ndio kafa kaozaHata nyie the same!
ππππSi mnapenda kusifiwa nilimsifia na alikua amependeza kweli ila alikua ashanichoka maana alishaanza kuniambia ninyanyue vyuma niwe na misuli na mkifua. Nikamwambia hiyo hapana
Mume wako abarikiwe.Ila kiukweli hii tabia ya kuanzia kudate na Mtu unamkuta Hana misuli unaanza force awe na misuli Kwa kweli siyo ya kuiendekeza kabisaa!ikemewe!Kwani alivyoanza kudate na usie na misuli mabaunsa hakuwaona?huko ni kuchoshana akili
Kijora ndio chenyewe hicho kuijishaulia kwenye viunga vya pwani ta Tanzania!π€£π€£π€£π€£Watoto wa uswazi utasikia Kuna ua jipya limetoka hapo safari TandikaNdio ILA sahiv mbona kakubali hana voko Tena juu ya vijora
Sielewi watu wanavichukuliaje.. esp wasio wakazi wa Dar/ Pwani.Alinikataza kuvaa vijora [emoji849][emoji849][emoji849]weee nilimzoom tu
π na nikaachwa imagine ningenyanyua vyuma ingekuaje?ππππ
Ha haaa haaa Amina ya radi Kwa niaba ya mumeMume wako abarikiwe.
Famasihara [emoji1787][emoji1787] harafu umwambie eti hutaki avae vijora weee bora umwache na vijora vyakeKijora ndio chenyewe hicho kuijishaulia kwenye viunga vya pwani ta Tanzania![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watoto wa uswazi utasikia Kuna ua jipya limetoka hapo safari Tandika
Pole,mikoani wanaona kijora Kama ushangingiπ€£π€£Sielewi watu wanavichukuliaje.. esp wasio wakazi wa Dar/ Pwani.
Kuna siku huku mkoani, ninacho cha chui chui πhiyo siku sikuwa kazini. Sasa ikafika mida flani ikanilazimu niende nikafate PC.
Nikaona kwakuwa naenda kwa muda mchache basi nikivae kijora kile..
Jamani nilisemwa/ walinishangaa
Wasiokuwepo walipata story, D kaja ofisini na kijora π
π€£π€£π€£Hapo alikuwa anakutafuta la rohoniFamasihara [emoji1787][emoji1787] harafu umwambie eti hutaki avae vijora weee bora umwache na vijora vyake
Hivi ni kweli mkuu uliambiwa au unatania?! ππππ na nikaachwa imagine ningenyanyua vyuma ingekuaje?
Wewe Ni Kama Mimi,nikihisi harufu ya dharau kwenye mahusiano Aisee yaani Moyo wangu unakufa ganzi ghafla tu yaani,kwa Sababu Mimi simdharau mtu why Mimi anidharau?piga chiniNamimi sipendi dharau, ukinidharau hata kama nakupenda vip nakubwaga easily kabisa
Kweli kabisa na akaniambia niache kunyoa kama school boy na sijaajiriwa πHivi ni kweli mkuu uliambiwa au unatania?! πππ
Nimechekaa aisee
Chap kwa haraka mtu akishanidharau najua fika hapa upendo hamna tenaWewe Ni Kama Mimi,nikihisi harufu ya dharau kwenye mahusiano Aisee yaani Moyo wangu unakufa ganzi ghafla tu yaani,kwa Sababu Mimi simdharau mtu why Mimi anidharau?piga chini
Sure,mtu unaempenda huwezi mletea dharau maana unakuwa na huruma naeChap kwa haraka mtu akishanidharau najua fika hapa upendo hamna tena