Mikoani vijora sio sana. Hawavielewi kabisa.Pole,mikoani wanaona kijora Kama ushangingi🤣🤣
Hicho kijora Cha chui sikipendi !!yaani siku hiyo nakata zangu kko nikakiona wacha Moyo upasuke nikasema yes bonge swaga,nikanunua fastaaa jamani wiki iliyofuata Dar nzima wamekivaa wale wavaa vijora wasiojipenda na kisigino kichafu wote wamevaa jamani 🙄🙄🙄🙄🙄,,nilikuwa Singida vijijijni juzi nimekikuta kimezidi nichosha
Nipo nakatia vitunguu nyumbani
Kabisa ila mapenzi hayako fair kabisaSure,mtu unaempenda huwezi mletea dharau maana unakuwa na huruma nae
Umeona eeh?sijui hata tufanyajeKabisa ila mapenzi hayako fair kabisa
Mama chui imetia fora,utasema tuko TarangireMikoani vijora sio sana. Hawavielewi kabisa.
Huko Dar hakuna ua la peke yako. Lazima ukute na mwenzako mko sare sare
Ni kuenda nayo kwa akili tu yani nikikumbuka penzi lilivyokua jipya alivyokuwa ananipenda nachoka kabisa 😅Umeona eeh?sijui hata tufanyaje
Hiyo chui ipo sana hasa darisaladeMama chui imetia fora,utasema tuko Tarangire
🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi konyoooNi kuenda nayo kwa akili tu yani nikikumbuka penzi lilivyokua jipya alivyokuwa ananipenda nachoka kabisa 😅
Na wewe umeiona kumbe 😂😂😂😂ngoja gilly ajeHiyo chui ipo sana hasa darisalade
Acha kabisa ila alinipa darasa muhimu sana kwenye maisha ya mapenzi.🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi konyooo
Kuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,Wewe Ni Kama Mimi,nikihisi harufu ya dharau kwenye mahusiano Aisee yaani Moyo wangu unakufa ganzi ghafla tu yaani,kwa Sababu Mimi simdharau mtu why Mimi anidharau?piga chini
Kuishi ni kujifunza!kwenye kila scenario tunapata nafasi ya kujifunza kitu kipyaAcha kabisa ila alinipa darasa muhimu sana kwenye maisha ya mapenzi.
NImeiona sana kuna siku nilikua kigamboni ilipita gari ya mbagala inaenda kwenye shughuli sijui. Walivalia sare hiyoNa wewe umeiona kumbe 😂😂😂😂ngoja gilly aje
Jf mods naunga mkono aliyesema degree kiwe kigezo cha kujiunga jf... Juzi kati kuna bnt amefungua uzi namna wats app inavomsumbua..yaaan inakuwa ni HOME OF TABURALASA
Dharau sio poa kabisa inakata stimu kabisa..Kuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,
Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi kumnunulia simu nzuli japo hakuwahi kufkria kwamba Kuna siku atavimiliki hivyo vitu...
Alivyoona nahangaika na yeye wakati mwingine akiwa kafanya makosa yeye ila mimi naomba yaishe...
Yule binti akaona ameniweka hapa, nikawa nikipiga simu hapokei mpaka nipige zaidi ya mara mbili, hataki kuongea na simu anadai amechoka,anaumwa mdomo n.k mara anawaambia marafiki wenzie eti mimi kwake ni boya tu anaweza kuchepuka na nikamsemhe kwa sababu nampenda sana,
Kuna siku aliniambia yaani Kuna mtu anamsumbua sana na anasifa zaidi yangu na ananionea huruma tu kuwa na Mimi anaogopa kuniacha eti Nita umia sana. ndo siku nilivyochukua vyangu vya thamani kwake na kumwacha mazima,
Mpaka kesho ana mwaga machozi kuniomba nimludie ,na mimi tayari nina mke na watoto...
Yeye tayari single mother.
Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
🙌 hawa tunaowabikiri tukiwaonesha upendo wanatuonaga mafala sana sijui ni kwa sababu ya wanalack expirience ya mahusiano? Wangu nae alizinguaga ila now usumbufu mwingiKuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,
Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi kumnunulia simu nzuli japo hakuwahi kufkria kwamba Kuna siku atavimiliki hivyo vitu...
Alivyoona nahangaika na yeye wakati mwingine akiwa kafanya makosa yeye ila mimi naomba yaishe...
Yule binti akaona ameniweka hapa, nikawa nikipiga simu hapokei mpaka nipige zaidi ya mara mbili, hataki kuongea na simu anadai amechoka,anaumwa mdomo n.k mara anawaambia marafiki zake eti mimi kwake ni boya tu anaweza kuchepuka na nikamsemhe kwa sababu nampenda sana,
Kuna siku aliniambia yaani Kuna mtu anamsumbua sana na anasifa zaidi yangu na ananionea huruma tu kuwa na Mimi anaogopa kuniacha eti Nita umia sana. ndo siku nilivyochukua vyangu vya thamani kwake na kumwacha mazima,
Mpaka kesho ana mwaga machozi kuniomba nimludie ,na mimi tayari nina mke na watoto...
Yeye tayari single mother.
Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
Kweli kabisa japo mengine tunajifunza kwa maumivu sanaKuishi ni kujifunza!kwenye kila scenario tunapata nafasi ya kujifunza kitu kipya
Hao watakuwa walikuwa wanatoka Rongoni😂😂😂😂Maana ndio chimbo lao watoto wambagala....halafu wapiga goma lao linaitwa" safari ya beach''NImeiona sana kuna siku nilikua kigamboni ilipita gari ya mbagala inaenda kwenye shughuli sijui. Walivalia sare hiyo
Gily njoo umnunulie shemeji kijora cha chui chui
Maumivu yanakomaza nafsi!hapo hata ukutane na Delillah wa Samson unamzoom tu,ukiona kaanza drama wewe unatia breki ghafla yaani bado ana wenge unamwambia shuka chini🤣Kweli kabisa japo mengine tunajifunza kwa maumivu sana
Hapa niligoma siji nitakosa shangazi humu ndani😀 unataka nitoe siri kuwa alinikataza nisiwe na mavuz niwe nanyoa😬😬😬😬Na wewe umeiona kumbe 😂😂😂😂ngoja gilly aje