Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Hajanikataza rasmi kitu chochote ila sikumoja nikarud home nimevaa cheni shingoni...ilikua vita ..ofcz sikuwahg kuwa navaa hizo kitu ila siku hiyo niliipenda tu cheni flani town nikanunua nikavaa...yf alipiga kelele kinoma nikaacha 🤣🤣
 
Back
Top Bottom